EPL

Alonso aongeza mkataba Chelsea.

Beki kutoka nchini Hispania na klabu ya Chelsea Marcos Alonso amesaini mkataba mpya wa kuendelea kuitumikia klabu hiyo ya mgharibi mwa jijini London. Alonso mwenye umri wa miaka 27, amekamilisha mpango wa kusaini mkataba mpya, ambao utamuweka Stamford Bridge hadi mwaka 2023, na ni dhahir unavunja tetesi za kuondoka kwake mwishoni...
EPL

Cascarino: Kocha Sarri hajui kumtumia N’Golo Kante.

Aliyekua mshambuliaji wa klabu ya Chelsea Tony Cascarino ameonesha kuchukizwa na mfumo wa meneja wa sasa wa klabu hiyo Maurizio Sarri, kwa kusema haumpi nafasi kiungo kutoka nchini Ufaransa N'Golo Kante, kucheza kama ilivyokua misimu miwili iliyopita. Cascarino ambaye aliitumikia Chelsea kuanzia mwaka 1992–1994 na kufunga mabao manane katika michezo...
Ligi Kuu

JKT Tanzania waitambia Azam.

Maafande wa JKT Tanzania wamejinasibu kuwa tayari kwa mchezpo wa mzunguuko wa 11 wa ligi kuu ya soka Tanzania bara ambao utawakutanisha na vinara wa msimamo wa ligi hiyo Azam FC, kwenye uwanja wa Meja Jenerari Isamuyo uliopo Mbweni JKT jijini Dar es salaam. Afisa habari wa klabu ya JKT...
EPL

Mesut Ozil ajimwagia sifa baada ya kuwaadhibu Leicester City.

Kiungo wa klabu ya Arsenal Mesut Ozil amejisifia kwa kuonesha soka safi usiku wa kuamkia leo, wakati wa mchezo wa ligi kuu ya soka nchini England dhidi ya Leicester City, waliokubali bakora tatu kwa moja, kwenye uwanja wa Emirates jijini London. Ozil ambaye jana alikua nahodha wa kikosi cha The...
La Liga

Antonio Conte aongoza mbio za kumrithi Julen Lopetegui

Aliyekua meneja wa klabu ya Chelsea Antonio Conte, anatajwa kuwa katika orodha ya makocha wanaopewa nafasi ya kuajiriwa na uongozi wa mabingwa wa soka barani Ulaya Real Madrid. Jina la meneja huyo limechukua nafasi ya juu kwenye orodha hiyo, kufuatia joto la kufukuzwa kwa mkuu wa benchi la ufundi klabuni...
Ligi

Ruvu Shooting kuzipeleka Simba na Yanga mkoani Dodoma.

Klabu ya soka ya Ruvu Shooting ya mkoani Pwani imepeleka ombi Kwa bodi ya Ligi Kuu kutaka mechi za Nyumbani zinazozihusisha vilabu vya Simba na Yanga kufanyika katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma. Msemaji wa Ruvu Shooting Masau Bwire amesema baada ya kuona ombi la JKT Tanzania kukubaliwa mechi zao...
1 18 19 20 21 22 34
Page 20 of 34