Nagwanda imenifanya nione kesho ya Simba Sc
Ndiyo mabingwa watetezi, tena ubingwa ambao walichukua kwa ustadi mkubwa kuanzia nje ya uwanja mpaka ndani ya uwanja. Walihakikisha wanasajili kikosi imara, chenye nyota wengi mpaka kikawa kinaitwa kikosi cha bilioni 1. Inasemekana lakini kikosi chao cha msimu uliopita kiligharimu bilioni 1!. Watu wengi walitegemea mpira wa bilioni moja, kuanzia...