Ukurasa wa Mwisho wa kitabu cha John Bocco utakuwa wa Majonzi.
Kuna hadithi nyingi sana ambazo huvutia na kusisimua kwa pamoja kipindi unazisoma. Na siku zote hadithi hubeba uzito mkubwa wenye mafundisho makubwa kwa jamii. Ndiyo maana waandishi wa vitabu duniani wanabaki kuwa watu wanaoheshimika zaidi. Wanauwezo mkubwa wa kung'amua mambo na wanauwezo mkubwa wa kuandika vitu ambavyo vinaweza kubaki kuwa...