Martin Kiyumbi

Mchambuzi
Mchambuzi wa mpira wa miguu, mwenye Shahada ya Ualimu. Martin amejiunga na timu ya kandanda toka mwaka 2017, moja kati ya wachambuzi wakongwe katika familia yetu.
Ligi Kuu

Mechi 10 za Ubingwa wa Simba!

Unatoka kucheza na Azam FC mechi inayofuata ni dhidi ya Yanga. Swali kubwa ni namna ambavyo wao wangeweza kushinda mechi dhidi ya Azam FC huku wakiwa na presha ya homa ya mechi dhidi ya watani wao.
Blog

Simba njooni mnisajili – MHILU

Kwa sasa inaonekana Meddie Kagere ndiye mwenye nafasi kubwa ya kubeba kiatu cha ufungaji bora wa ligi kuu Tanzania bara akiwa na magoli 19 huku mtu anayemfuata ni Yusuph Mhilu mwenye magoli 13. Msimu huu Yusuph Mhilu amekuwa na msimu mzuri sana , mpaka sasa hivi amefanikiwa kufunga magoli 16...
Ligi Kuu

Bernard Morrison siyo muhimu -Bumbuli

Sakata la Bernard Morrison na klabu ya Yanga linazidi kupamba kila uchwao , leo hii Afisa habari wa Yanga , Hassan Bumbuli amedai kuwa Bernard Morrison aliikuta Yanga ikiwa kubwa. Afisa habari huyo wa Yanga bwana Hassan Bumbuli amedai kuwa Bernard Morrison aliikuta Yanga ikiwa na vikombe 27, kwa hiyo...
Ligi Kuu

Yanga wanabahatisha tu !

Ligi kuu Tanzania bara imeendelea jana katika miji tofauti ya Tanzania , macho ya watu wengi ambao ni wapenzi wa mpira wa miguu hapa Tanzania yalikuwa kwenye viwanja vya mikoa miwili. Mkoa wa kwanza ulikuwa Dar es Salaam ambapo Kuna uwanja wa Benjamini William Mkapa, na mkoa wa pili ni...
Blog

Tshishimbi naye aigomea Yanga ?

Klabu ya soka ya Yanga imekanusha taarifa zinazoenea juu ya nahodha wake Papy Tshishimbi kuwa amegoma kuichezea miamba hiyo kwa sababu za madai ya maslahi yake. Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili wa Klabu hiyo, Hersi Said ameiambia Kipenga ya East Africa Radio kwamba Tshishimbi bado anauguza jeraha linalomkabili na ameanza...
BlogLigi Kuu

Washambuliaji wa Yanga butu- Eymael

Jana Yanga ilicheza na Namungo FC katika mechi za.mwendelezo wa ligi kuu Tanzania bara kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Katika mchezo huo Yanga alitoka sare ya magoli 2-2. Magoli ya Namungo FC yalifungwa na Manyama ambaye alifunga magoli yote mawili huku magoli ya Yanga yalifungwa na David...
1 7 8 9 10 11 79
Page 9 of 79