Martin Kiyumbi

Mchambuzi
Mchambuzi wa mpira wa miguu, mwenye Shahada ya Ualimu. Martin amejiunga na timu ya kandanda toka mwaka 2017, moja kati ya wachambuzi wakongwe katika familia yetu.
Ligi Kuu

Hata bila Morrison Yanga itashinda

Bernard Morrison, shujaa mkubwa wa mechi ya watani wa jana , Simba Sc na Yanga SC ambapo alifunga gol 1 ambalo liliwapa ushindi Yanga SC kwenye mechi yao ya mwisho kuzikutanisha hizi timu zote mbili. Bernard Morrison mpaka sasa hajaungana na kikosi cha Yanga SC ambacho kipo jijini Dodoma kwa...
Ligi Kuu

Bernard Morrison ni majeruhi – NUGAZ

Habari ya kwanza ilianza kwa Bernard Morrison kushindwa kusafiri na timu kwenda Shinyanga , na alipopigiwa simu kwa ajili ya kusafiri na timu hakupokea simu . Hofu ikazidi kupanda kwenye klabu ya Yanga . Hofu zaidi ilizidi baada ya habari kuzagaa kuwa Bernard Morrison anatakiwa na mahasimu wakubwa wa Yanga...
Ligi Kuu

Simba hawajalipwa mishahara-MASAU BWIRE

Jana kulikuwepo na mchezo ligi kuu Tanzania bara kati ya Simba SC na Ruvu Shooting,  mchezo uliochezwa kwenye uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam nakumalizika kwa sare ya 1-1.   Baada ya mchezo huo msemaji wa Ruvu Shooting amedai kuwa klabu hiyo ndiyo klabu pekee hapa nchini ambayo imelipa.mishahara...
Uhamisho

Donald Ngoma atemwa na Azam Fc

Aliyewahi kuwa mshambuliaji Yanga , Donald Ngoma ambaye kwa kipindi hiki alikuwa kwenye timu ya Azam FC ameachana na klabu hiyo yenye maskani yake Chamazi , Mbagala jijini Dar es Salaam.   Mshambuliaji huyo ambaye amekuwa akisumbuliwa na majeraha ya goti tangu akiwa Yanga , Azam FC walimsajili akiwa na...
Uhamisho

Morrison ni mali ya Yanga, Simba wanajisumbua

Wiki iliyopita baada ya Bernard Morrison kutopokea simu ya kocha mkuu wa Yanga , Luc Eymael na kushindwa kwenda Shinyanga kwa ajili ya mechi dhidi ya Mwadui FC kuliibuka na tetesi nyingi za Bernard Morrison kwenda Simba.   Tetesi ambazo zilikuwa na tairuki kubwa sana kwa mashabiki wa Yanga kwa...
Blog

Miguu ya Pascal Wawa na Erasto Nyoni imepungua kasi

Tuanzie hapa , unakumbuka ile Simba ya Patrick Aussems ? Simba ya msimu jana ambayo ilifanikiwa kufika hatua ya robo fainali ya ligi ya mabingwa barani Afrika ? Ile Simba ambayo ilishinda mechi zote za nyumbani kwenye mashindano hayo ya ligi ya mabingwa barani Afrika? Nahisi unaikumbuka vyema , na...
Blog

David Molinga ampigia goti Mkwasa

Baada ya kutolea halo ya kutoelewana kati ya kocha msaidizi wa Yanga na mshambuliaji wa Yanga,  David Molinga , jana jioni David Molinga mbele ya wachezaji wa Yanga , viongozi wa Yanga na GSM aliomba msamaha. David Molinga aliwaomba radhi wachezaji wenzake pamoja na kocha msaidizi Charles Boniface Mkwasa kwa...
1 8 9 10 11 12 79
Page 10 of 79