Ligi KuuYametimia leo ndio leo!Thomas Mselemu2 years agoHii ni mechi special na ndio maana kila kitu ni special kuelekea mchezo huu.
Ligi KuuPablo: Ni mechi kubwa, tutawapa furaha mashabiki wetu.Thomas Mselemu2 years agoSisi tumezoea kucheza mechi kubwa kama hizi nadhani mliona wenyewe katika mchezo wa robo fainali
Ligi KuuKaze: Kesho ni mechi “special”.Thomas Mselemu2 years agoKesho tunaenda kutafuta point 3 hatuendi kutafuta "unbeaten". Tunakwenda kulinda malengo yetu tuliyojiwekea tangu mwanzo wa msimu."
Ligi KuuVikosi vya Simba na Yanga vipo hivi!Thomas Mselemu2 years agoChama hajacheza mechi ya ushindani kwa takribani wiki mbili kutokana na kutotumika katika mchezo wa shirikisho
Shirikisho AfrikaChama cha Soka Afrika Kusini waishtaki Simba CAF.Thomas Mselemu2 years agoNa ina uwezo wa kuharibu uwanja na tunaamini haikuwa kwa njia yoyote inayohusiana na michezo
Shirikisho AfrikaKiongozi Simba: Pablo haendi popote, tuna ofa kibao za wachezaji wetuThomas Mselemu2 years agoHizi taarifa za kocha sijui mmezitoa wapi. Hakuna tasarifa yoyote ya klabu iliyosema kuhusu kumfukuza kocha
Shirikisho AfrikaMwenyekiti: Simba tunastahili pongezi, ule haukua moto.Thomas Mselemu2 years agoKwenye ile video mimi binafsi sikuona moto labda tuu kuna picha zilizotengenezwa zinasambaa.
Ligi KuuManara: Nitaachana na usemaji!Thomas Mselemu2 years agoWakati ukifika nitaitisha press na ntaeleza kila kitu.
Ligi KuuManara: Inonga bonge la beki.Thomas Mselemu2 years agoKuna wakati anafanya jambo ili awafurahishe mashabiki,
Mabingwa AfrikaKocha Msouth: Tunajua jinsi ya kushinda hizi mechi.Thomas Mselemu2 years agoTunahitaji kuboresha ufungaji wetu, lakini tuna uhakika katika uwezo wetu wa kusonga mbele.