Ligi KuuKocha Simba: Kipindi cha pili wachezaji walipumzika.Thomas Mselemu2 years agoKocha Pablo alikiri timu yake ilicheza vyema kipindi kimoja tuu chakwanza na kushindwa kua na muendelezo mzuri katika kipindi cha pili
Ligi KuuAzam Fc wakubali yaishe waache wataalam wafanye kazi!Thomas Mselemu2 years agoAzam Fc imetwaa ubingwa wa Ligi Kuu mara moja pekee tangu timu hii ipande daraja mwaka 2008,
Ligi KuuChama bai baii Simba!Thomas Mselemu2 years agoChama anatarajia kukosa michezo karibia yote ya msimu huu.
UhamishoKibwana: Inawauma lakini nipo Yanga!Thomas Mselemu2 years agoUwepo wa Kibwana Shomary tena kwa miaka miwili Yanga kunahatarisha nafasi za walinzi wa kushoto wa Yanga pia kina Yassin Mustapha na Bryson Raphael.
Ligi KuuSimba na kisasi dhidi ya Hamis Kiiza!Thomas Mselemu2 years agoTayari Kagera Sugar wamejinasibu kuendeleza palepale walipoishia katika mchezo wa mwisho baina yao
Mabingwa AfrikaKocha Al-Ahly aukataa uwanja wa Fainali!Thomas Mselemu2 years agoMiongoni mwa timu zinazoonekana kuwa katika nafasi nzuri ya kutinga fainali ni Wydad Casablanca na Al-Ahly.
Ligi KuuMayele alistahili kupiga penati.Thomas Mselemu2 years agoNi kwa mara ya kwanza katika msimu huu Yanga imecheza michezo mitatu mfululizo bila kutoka na ushindi na bila kufunga bao lolote
Ligi KuuYanga yashindwa kuvunja gereza, Mayele aweka rekodi.Thomas Mselemu2 years agoNi kwa mara ya kwanza Yanga wanacheza michezo mitatu mfululizo bila ushindi
TetesiSaid Ndemla awa lulu, wababe wanataka kumrudisha mjini.Thomas Mselemu2 years agoSaid Ndemla alijiunga na Mtibwa msimu huu akitokea Simba Sc baada ya aliyekua kocha wa wa Simba wakati huo Didier Gomes kumkataa
Ligi KuuKMC kambini kujiandaa na kina Ndemla.Thomas Mselemu2 years ago“Mchezo uliopita tulipoteza dhidi ya Azam tukiwa ugenini, lakini hiyo bado haituvunji moyo wala kututoa kwenye morali zaidi.