Mabingwa Afrika

Yanga anasonga mbele klabu bingwa.

Sambaza....

Kuna mtu ananiambia dhamana ya Yanga kusonga mbele ipo. Mikononi mwa hawa jamaa ,unaweza kuwaita ‘Wakombozi wa ngambo’.

Nilivyouliza una maana gani kwenye hoja yako? majibu yake yalikuwa mepesi tu ‘nyumba ni mlango’ Diarra akiamua kuufunga mlango kisawasawa basi usalama ni 100%

Nikamuuliza vip Aziz Ki (Azizi ufunguo ) akaniambia huyu akitimiza majukumu yake ipasavyo kwa 100% basi atawapa kazi sana walinzi kumkaba Mayele na yeye kwa pamoja

Akaniambia aonavyo yeye kama mshikaji anamtegea mwezie hivyo akimpa ushirikiano thabiti basi shughuli itakuwa pevu ,goli mbili za kuwafanya wafuzu kwa ushindi wa moja kwa moja au sare ya juu ya goli moja moja wamepata

Pita na koti la Babu kushoto kwako
tumewakosa Jana na juzi huwenda leo zamu yetu # Barcelona

Sambaza....