Makamu wa Rais TFF aingia matatani
Kamati ya maadili ya Shirikisho la soka nchini (TFF) inakutana leo Machi 14, 2018 pamoja na mambo mengine kamati hiyo itajadili suala la makamu wa rais wa TFF, Michael Richard Wambura aliyefikishwa kwenye kamati akituhumiwa kwa makosa matau ya kimaadili Akidaiwa kupokea fedha za TFF malipo yasiyo halali, kughushi barua...