Kichwa cha MO-Ibrahim Kinaipeleka Miguu Yake Dimbwini
Where Am I ? Ni moja ya kitabu bora kabisa cha mwanafilosofia Daniel Dennett alichokiandika mwaka 1978. Kitabu ambacho alikitumia kuelezea umuhimu wa akili ya mwanadamu. Akili ambayo MUNGU aliiweka kichwani mwa mwanadamu kwa makusudi makubwa sana. Moja ya kusudi kubwa ni kumfanya mwanadamu aweze kutafasri kile anachokiona na kutafasri...