Ligi Kuu

Ligi Kuu

Singida United, anzeni walipokosea Mbeya City

Mapinduzi ya kizazi kipya cha watu kujivunia na kuzipenda timu zao za mikoani yalianzia kwa Mbeya City. Timu ambayo wana Mbeya walijivunia kuishabikia, kuipenda na kuisaidia kwa hali yoyote kadri ambavyo uwezo wao ulivyo waruhusu. Mbeya City hawakuwaangusha mashabiki wao mwanzoni, waliwapa furaha ambayo walitazamia kuipata kipindi ambacho wanaishabikia timu....
Ligi Kuu

Mahadhi wakumbuke Mazembe ujifunge masombo

Najua ushapitia nyakati tofauti zenye majira tofauti sana katika maisha yako, na kuna wakati mambo yako yalienda shoto na yakarudi upogo kwa sababu mbalimbali na kuna nyakati mambo yako yalitembea kwenye mstaari mnyoofu. Nyakati hizi zilikuwa na maana kubwa sana kwenye maisha yako kwa sababu maisha ya mwanadamu hukamilika kipindi...
Ligi Kuu

Lipuli FC yaigomea Azam FC

Mabingwa wa kombe la mapinduzi Azam FC, imeshindwa kuonesha cheche zake baada ya kutoka sare ya bila kufungana na Lipuli FC katika mchezo wa ligi kuu bara Mchezo huo uliopigwa kwenye dimba la Samora mjini Iringa, ulikuwa na ushindani mkubwa kwa dakika zote tisini Kwa matokeao hayo yanaifanya Azam kujikusanyia...
Ligi Kuu

Azam fc kuendeleza ubabe kwa Lipuli fc hii leo?

Ligi kuu ya soka Tanzania bara kuendelea tena hii leo kwa mchezo mmoja kupigwa kunako dimba la Samora mjini Iringa, amabo mabingwa wa kombe la Mapinduzi Azam FC watakuwa wageni wa Lipuli FC Mchezo huo unaotarajiwa kuwa na ushindani mkali kutokana na rekodi za timu zote katika michezo ya hivi...
Ligi Kuu

Zimbwe angusha uso kabla hujaenda Mvange

Inawezekana ndiye alikuwa mchezaji bora na muhimu katika kikosi cha Simba msimu uliopita. Aliifanya kazi yake bila kupumzika, kila mechi mguu wake ulikanyaga kila nyasi ya viwanja vyote vilivyoruhusiwa kwa ajili ya ligi kuu Tanzania bara. Lakini kwa sasa muda umechukua nafasi ya kufanya mabadiliko muda ni nafasi ya mabadiliko....
Ligi Kuu

Kagera sugar yakabwa koo nyumbani

Ligi kuu ya soka Tanzania bara iliendelea leo, kwa mchezo mmoja kupigwa kule Bukoba mkoani Kagera kunako dimba la Kaitba Katika mchezo ambao ulizikutanisha klabu za Kagera Sugar waliowakaribisha waoka mikate Azam FC ambapo zilitoshana nguvu kwa kufungana bao 1-1 Kwa matokeo hayo yanaifanya Azam FC kuifikisha alama 34, na...
Ligi Kuu

Tathimini ya mchezo Simba vs Azam fc

Mtanange wa soka kati ya Simba sc dhidi ya Azam fc umemalizika kwenye uwanja mkuu wa taifa jijini Dar es salaam kwa Simba sc kuibuka wababe kwa ushindi wa bao 1-0 Alikuwa ni Emmanuel Okwi aliweza kuwapa furaha mashabiki wa Simba hii leo, baada kuitumia vema pasi ya Asante Kwasi....
Ligi Kuu

Uchambuzi Simba sc vs Azam fc

Kwa kuutazamia mchezo kati wenyeji Simba sc dhidi ya Azam fc, kwa hakika utakuwa ni mchezo mzuri na wenye ushindani mkubwa kwa kuzingatia ubora mabenchi ya ufundi na nafasi katika msimamo wa ligi ikiongeaza changamoto kwenye mchezo huo Simba sc, ambao ni vinara wa ligi hiyo mpaka sasa wakiwa na...
Ligi Kuu

Sure boy kuivaa Simba sc leo

Kiungo mzoefu wa Azam fc Salumu Abubakar maarufu kama "Sure boy" huenda akawemo kwenye kikosi kitakachoivaa Simba sc leo jioni Katika mchezo huo wa ligi kuu ya soka Tanzania bara, unaotaraji kupigwa kwenye uwanja wa taifa Dar es salaam Kiungo huyo alikosa mchezo dhidi ya Ndanda fc, akitumikia adhabu ya...
Ligi Kuu

Uchambuzi wa mechi ya Yanga na Njombe Mjini

Leo Yanga walianza na mfumo wa 4-3-3 baadaye walibadirika na kuanza kucheza 4-4-2 na Njombe mji wakicheza mfumo wa 4-4-2. Kwa kipindi cha kwanza Njombe mji walicheza vizuri wakati wakiwa na mpira kuanzia eneo la nyuma mpaka katika eneo la katikati. Walipokuwa na mpira waliweza kusogea mpaka eneo la karibu...
1 87 88 89 90 91 94
Page 89 of 94