Ligi

Habari za Ligi Kuu maarufu Duniani Ligi Kuu (Premier League) hivyo hapa tunakuletea mkusanyiko wa uchambuzi na matukio yanayohusu Ligi Kuu pekee pamoja na Ligi Kuu Tanzania Bara (Ligi Kuu)

Ligi Kuu

Hiki ndicho kilicho mpa Tshishimbi ubabe wa Februari

Kiungo mahiri wa Yanga sc, Papy Tshitshimbi amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa ligi kuu ya soka Tanzania bara kwa mwezi Februari 2018 Mchezaji huyo raia wa Congo (DRC) ametwaa tuzo hiyo baada ya kuwashinda kiungo mwingine wa Yanga sc, Pius Buswita na mshambuliaji wa Simba kutoka Uganda Emanuel Arnold Okwi...
Ligi Kuu

Hivi ni ngumu kuuendesha kibiashara uwanja wa Taifa?

Kutengeneza hela ni sanaa, kufanya kazi ni sanaa ila kufanya biashara ni sanaa kubwa zaidi Kuna biashara nyingi sana kwenye tasnia ya michezo lakini hatujawahi kuzifanya katika kiwango kikubwa cha ubora. Ukawaida usio wa kawaida umetawala sana kwenye eneo hili la biashara za michezo, ndiyo maana mafanikio yetu ya kawaida...
Ligi Kuu

Yanga sc yapandisha mzuka, sasa ni mpaka kieleweke

Mabingwa watetezi wa ligi kuu ya soka Tanzania bara, Yanga sc, jioni ya leo wameendeleza ubabe wao baada ya kupata ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Stand United ya Shinyanga. Katika mchezo huo, uliofanyika kunako uwanja wa taifa jijini Dar es salaam, Yanga waliandika bao la kwanza baada beki wa...
EPL

Mourinho anaiangalia timu, sisi tunamwangalia Sanchez

Hapana shaka mwaka huu ulianza na mshindo mkuu, mshindo ambao ulitokea katika jiji la Manchester na kusambaa duniani. Kila sehemu duniani kote watu wengi walikamatwa hisia zao kutokana na usajili wa Alexis Sanchez. Hiki ni kitu cha kawaida sana kwa klabu kubwa kama Manchester United, klabu ambayo inajua kucheza na...
EPL

Mo Salah mwenye sura ya Kiarabu miguu ya Kiholanzi

SOKA ni mchezo unaoongozwa na historia huwezi kuiona thamani ya mchezo huu usiporudi katika historia, wengi wetu tumekuwa ni watu wakutoamini historia katika soka tukidhani kwamba ni kupoteza muda lakini si hivyo na tunavyo amini, maana mengi yanayofanywa sasa yanatoka katika historia za nyuma Tumeona wanasoka wengi ambao wanahitaji kuwa...
EPL

Kilichowaua Liverpool ndicho kilikuwa silaha ya Manchester United

Liverpool alicheza mfumo wa 4-3-3 na Manchester United katika karatasi alionekana kucheza mfumo wa 4-3-3 lakini uwanjani ilikuwa tofauti, wakati wanashambuliwa walikuwa wanacheza mfumo wa 4-2-3-1. Ila wakati wa kujilinda Manchester United walikuwa wanacheza mfumo wa 4-5-1. Kipi kiliwasaidia Manchester United wakati wanajilinda ? Moja ya makosa ambayo timu nyingi...
EPL

Jose ndani ya korti chafu la historia dhidi ya Klopp

Jose Mourinho anaweza kumaliza uteja kwa Jurgen Klopp? Alama mbili pekee zinawatenganisha hawa watu na wako kwenye vita ya kupigania nafasi ya pili mpaka sasa. Wanakutana katika uwanja wa Old Trafford, mechi ya kwanza walitoka suluhu. Jose Mourinho anamkaribisha tena Jurgen Klopp katika uwanja wake wa nyumbani, kipi kitakuwa nguvu...
EPL

Rashford waza kwa kuinama kisha inua sura tafakari kipaji chako

Hutokea mara chache sana kwa kijana chipukizi aliyeaminika na kutekeleza kile ambacho kocha alikitarajia, na vile vile hutokea mara chache sana kwa kocha kuendeleza kiwango cha chipukizi mwenye kipaji halisi cha soka . Akiwa na umri wa miaka 18 kwenye kombe la Dunia mwaka 1998 nchini Ufaransa, kocha wa timu...
Ligi Kuu

Mkude ananifanya na mimi nitamani kucheza namba sita!

Jonas Gerald Mkude mtoto wa Kinondoni rafiki Mkubwa wa ndugu yangu Abdul Mkeyenge. Ameufanya mpira uonekane kitu kirahisi ambacho kila mtu atamani kuucheza. Ndio Jonas Gerald Mkude kiungo mkabaji wa SimbaSc ambae kwa sasa yupo kwenye ubora wake. Kiungo mkabaji wa kisasa tunaweza kumuita, anakaba, anatuliza timu, anaanzisha mashambulizi, mtaalamu...
La Liga

Miguu ya kina Ramos imebeba matumaini ya Real Madrid

Santiago Bernabeu, uwanja ambao ulikuwa na nyasi ambazo zilichagua ng'ombe wa nyumbani kupata malisho. Kutoka na ubabe wa ng'ombe ngeni tulitegemea kwa kiasi kikubwa ungemfanya amzidi ng'ombe mwenyeji Magoli matatu yalitosha kumpa pumzi ndefu mwenyeji, pumzi ambayo anaenda nayo ƙkatika uwanja wa Parc des Princes. Uwanja ambao umekuwa siyo salama...
1 105 106 107 108 109 118
Page 107 of 118