Kilichopo kwenye sura ya Chamberlain ndicho wanachokosa Arsenal
Wengi tulimshangaa kuona anaihama Arsenal na kwenda Liverpool. Macho yetu yalituonesha anatoka kwenye timu ambayo ana nafasi kubwa ya kupata nafasi na kwenda sehemu ambayo upatikanaji wa nafasi ulikuwa finyu kwa sababu kulikuwa na wachezaji ambao walionekana wana kiwango kikubwa zaidi yake. Sehemu ya kiungo cha katikati alipokuwa anataka kucheza...