Ligi

Habari za Ligi Kuu maarufu Duniani Ligi Kuu (Premier League) hivyo hapa tunakuletea mkusanyiko wa uchambuzi na matukio yanayohusu Ligi Kuu pekee pamoja na Ligi Kuu Tanzania Bara (Ligi Kuu)

Ligi Kuu

Kagera sugar yakabwa koo nyumbani

Ligi kuu ya soka Tanzania bara iliendelea leo, kwa mchezo mmoja kupigwa kule Bukoba mkoani Kagera kunako dimba la Kaitba Katika mchezo ambao ulizikutanisha klabu za Kagera Sugar waliowakaribisha waoka mikate Azam FC ambapo zilitoshana nguvu kwa kufungana bao 1-1 Kwa matokeo hayo yanaifanya Azam FC kuifikisha alama 34, na...
EPL

Hiki ndicho kilichosababisha Arsenal kuzidiwa na Spurs.

Tottenham Hotspurs katika mchezo huu walicheza mfumo wa 4-2-3-1 wakati Arsenal walicheza mifumo miwili ndani ya mchezo huu, mfumo wa kwanza ulikuwa 4-3-3 na mfumo wa 4-5-1 kwa nyakati tofauti. Wakati walipokuwa wanashambulia Arsenal walikuwa wanacheza mfumo wa 4-3-3 na walipokuwa wanajilinda walikuwa wanatumia wa 4-5-1 ambapo Ozil na Mkhtaryian...
EPL

Kwa leo Wembley utakuwa uwanja mgumu kwa Arsenal

Kwa miaka ya hivi karibuni North London Derby imekuwa na mvuto kutokana na Tottenham Hotspurs kuwa timu ya ushindani tofauti na miaka mingi ya nyuma. North London Derby ya 195 itakayopigwa katika uwanja wa Wembley, wanakutana kwa mara ya kwanza baada ya miaka 23. Mara ya mwisho timu hizi kukutana...
EPL

Upi ni udhaifu wa Bakayoko ?

Msimu jana Antonio Conte alikuwa anatumia mfumo wa 3-4-3, mfumo ambao ulimpa uhuru wa kuwatumia Kante na Matic kama viungo wa kati. Matic alicheza kama box to box midfielder na alifanikiwa kupiga pasi za mwisho za magoli zaidi ya saba katika ligi kuu ya England peke yake. Baada ya msimu...
Ligi Kuu

Tathimini ya mchezo Simba vs Azam fc

Mtanange wa soka kati ya Simba sc dhidi ya Azam fc umemalizika kwenye uwanja mkuu wa taifa jijini Dar es salaam kwa Simba sc kuibuka wababe kwa ushindi wa bao 1-0 Alikuwa ni Emmanuel Okwi aliweza kuwapa furaha mashabiki wa Simba hii leo, baada kuitumia vema pasi ya Asante Kwasi....
Ligi Kuu

Uchambuzi Simba sc vs Azam fc

Kwa kuutazamia mchezo kati wenyeji Simba sc dhidi ya Azam fc, kwa hakika utakuwa ni mchezo mzuri na wenye ushindani mkubwa kwa kuzingatia ubora mabenchi ya ufundi na nafasi katika msimamo wa ligi ikiongeaza changamoto kwenye mchezo huo Simba sc, ambao ni vinara wa ligi hiyo mpaka sasa wakiwa na...
Ligi Kuu

Sure boy kuivaa Simba sc leo

Kiungo mzoefu wa Azam fc Salumu Abubakar maarufu kama "Sure boy" huenda akawemo kwenye kikosi kitakachoivaa Simba sc leo jioni Katika mchezo huo wa ligi kuu ya soka Tanzania bara, unaotaraji kupigwa kwenye uwanja wa taifa Dar es salaam Kiungo huyo alikosa mchezo dhidi ya Ndanda fc, akitumikia adhabu ya...
Ligi Kuu

Uchambuzi wa mechi ya Yanga na Njombe Mjini

Leo Yanga walianza na mfumo wa 4-3-3 baadaye walibadirika na kuanza kucheza 4-4-2 na Njombe mji wakicheza mfumo wa 4-4-2. Kwa kipindi cha kwanza Njombe mji walicheza vizuri wakati wakiwa na mpira kuanzia eneo la nyuma mpaka katika eneo la katikati. Walipokuwa na mpira waliweza kusogea mpaka eneo la karibu...
EPL

Sura ya Conte inaonesha kesho yake

Jana Antonio Conte alirudi kwenye mfumo wake wa msimu uliopita wa 3-4-3, mfumo ambao ulimpa ubingwa lakini msimu huu akawa anautumia mara chache kwa kuhamia katika mfumo wa 3-5-2. Jana wakati anautumia mfumo wa 3-4-3, kwenye karatasi ulionekana mfumo ambao unafanana na mfumo uliompa ubingwa msimu jana, lakini kiuhalisia kulikuwa...
Ligi Kuu

Biashara Fc yaamsha nderemo Mara

Shangwe, vifijo na nderemo jana vilitawara katika mkoa wa Mara, baada ya timu yao ya soka ya Biashara kufanikiwa kupanda ligi kuu ya soka Tanzania bara Biashara imefanikiwa kupanda baada ya kuitandika Transit camp kwa mabao 3-2 katika mchezo uliokuwa mkali na wa kusimua kwa dakika zote 90 Kwa matokeo...
1 108 109 110 111 112 118
Page 110 of 118