Aliyewahi kuwa beki wa Nkana FC msimu uliopita Ramadhani Kessy amejiunga na klabu ya Mtibwa Sugar ya mjini Morogoro. Ramadhani Kessy ambaye amemaliza mkataba wake na klabu ya Nkana FC ametua kwenye klabu ya Mtibwa Sugar akiwa mchezaji huru. Ramadhani Kessy anaenda Mtibwa Sugar kuziba nafasi ya Kibwana Shomari ambaye...
Baada ya kukosa namba katika klabu ya Simba tangu arejee kutoka Misri alipobahatika kucheza soka la kulipwa , Shiza Ramadhani Kichuya anaonekana kutaka kurudi kwenye klabu yake ya zamani ya Mtibwa Sugar. Shiza Ramadhani Kichuya alisajiliwa na Simba akitokea kwenye klabu ya Mtibwa Sugar ya Morogoro. Mipango bado inaendelea ili...
Baada ya jana mkuu wa kitengo cha habari cha Azam FC , Zaka za Zakazi kuwatuhumu Yanga kuandika barua wakijifanya ni Salum Abubakary "SureBoy" leo hii Afisa habari wa Yanga , Hassan Bumbuli amedai kuwa wao hawamtaki Salum Abubakary "SureBoy". Hassan Bumbuli amedai kuwa ni kweli walipeleka barua Azam FC...
Suala kubwa kwa sasa kwenye anga la mpira wetu ni suala la Bernard Morrison na klabu yake ya Yanga. Yanga wanadai kuwa wana mkataba na Bernard Morrison mpaka 2022 na Bernard Morrison amedai hana mkataba na Yanga. Wakati hili na Bernard Morrison halijaisha limeibuka jingine ambalo ni la Kibwana Shomari...
Yanga kwa sasa inahangaika na sakata la Bernard Morrison kwa kiasi kikubwa baada ya kusemekana amesajili katika klabu ya Simba wakati ana mkataba na Yanga. Wakati Yanga inahangaika na suala hili kuna habari kuwa mshambuliaji wa Yanga kutoka Ivory Coast, Gislain Yikpe amedai kuwa hawezi kuvunja mkataba na Yanga mpaka...
Baada ya klabu ya Yanga kuanza vurugu za usajili na Azam fc mashabiki wengi wa Simba wamekua wakisubiri kwa hamu kuona maboss wa Msimbazi wakijibu mapigo kwa kutambulisha nyota wapya