Ligi KuuKMC kambini kujiandaa na kina Ndemla.Thomas Mselemu2 years ago“Mchezo uliopita tulipoteza dhidi ya Azam tukiwa ugenini, lakini hiyo bado haituvunji moyo wala kututoa kwenye morali zaidi.
Ligi KuuMwana wa mfalme asiyestahili ufalme!Tigana Lukinja2 years agoBinafsi nilitaraji Dube anakwenda kurithi ufalme wa Meddie nikiamini yeye ni kijana zaidi na anaweza kuwepo kwenye ligi yetu kwa muda mrefu ujao
Ligi KuuAzam na kisa cha mtoto wa kambo anayetaka kutibua shereheTigana Lukinja2 years agoSina uhakika kama Azam na Yanga wakutanapo ni derby au ni big match ama ni crucial match.
Ligi KuuAzam na Yanga ni vita ya kisasi kesho.Thomas Mselemu2 years agoMpaka sasa Yanga haijapoteza mchezo wowote katika NBC Premier League huku akiwa ameshuka uwanjani mara 18.
Ligi KuuKandanda yaendelea kumwaga tuzo, ni zamu ya ChirwaThomas Mselemu4 years agoHatrick ya kwanza alifunga katika uwanja wa Nyamagana dhidi ya Alliance na Hatrick ya pili alifunga dhidi ya Singida Utd katika dimba la Chamanzi.
BlogYanga kushiriki ligi ya mabingwa barani Africa?Martin Kiyumbi4 years agoKwa mujibu wa taratibu za shirikisho la mpira wa miguu barani Africa , CAF nchi 12 zenye ligi bora hutoa...
UhamishoYANGA haimtaki tena SUREBOYMartin Kiyumbi4 years agoBaada ya jana mkuu wa kitengo cha habari cha Azam FC , Zaka za Zakazi kuwatuhumu Yanga kuandika barua wakijifanya...
BlogManara na Zaka wanatafuta KIKI kupitia YANGAMartin Kiyumbi4 years agoJana Azam FC kupitia kwa mkuu wa kitengo cha habari cha Azam FC , Zaka za Zakazi walielezea kitu ambacho...
BlogBocco! Mhitimu wa Azam, mkufunzi wa Bongo nzima!Thomas Mselemu4 years agoHiyo tayari ni mada ndefu yenye mengi ndani yake, itoshe kumheshimu na kumpongeza mfumania nyavu huyo aliyefunzwa Azam akaja kufundisha Simba
TetesiIbrahim Ajib huku, Never Tigere Msimbazi!!Thomas Mselemu4 years agoKiungo Ibrahim Ajib aliekosa nafasi katika klabu ya Simba baada ya kurejea akitokea Yanga huenda akatolewa katika timu baada kushindwa kugombea nafasi mbele ya kina Chama, Luis, Kahata na Dilunga.