Natamani kumuona Singano wa Simba chini ya Cheche.
"wanapokuwa katika mazoezi, huwa nawaangalia kipi wanafanya wanapatia na kipi wanakosea, kwahiyo narekebisha baadhi ya vitu vichache japo muda hauruhusu lakini tutajitahidi kuhakikisha tunarekebisha lengo ni kupata ushindi"
Neymar anapiga hatua moja nyuma kuikimbia BALLON D’OR
Miaka kumi imepita, miaka ambayo ilitawaliwa na wafalme wawili wa mpira duniani. Wafalme ambao wametufanya tujivunie kufuatilia mpira. Wafalme ambao...
Messi na Ronaldo siyo chochote kwa hawa!.
Inawezekana ndiyo wachezaji ambao wamegawana mashabiki katikati kwa kipindi cha muongo mmoja uliopita kama walivyogawa katikati tunzo ya Ballon D'or...
Owen: Salah anastahili tuzo ya Ballon d’Or
Mshindi wa tuzo ya Ballon d’Or na mchezaji wa zamani wa klabu ya Liverpool na timu ya Taifa ya England...
Tulimsubiria Neymar, Akaja Salah
Kivuli cha Lionel Messi ndicho kilichomtoa, hakutaka kusimama kwenye kivuli cha mtu mwingine ilihali kivuli chake kikiwa kimesinyaa. Mawazo yake...
Rekodi ambazo Ronaldo na Messi hawajawahi kuzivunja UEFA
Kuna vitu vingi wamevifanya, kuna rekodi nyingi wameziweka , rekodi ambazo zimewafanya wawe na mashabiki wengi duniani. Lakini kuna baadhi...
Usiteleze ukiwa dunia ya Ronaldo, Usianguke ukiwa dunia ya Messi
Ureno na Argentina ndizo nchi ambazo kwa sasa zinaonekana zinamiliki wafalme wa soka duniani. Wafalme ambao wamefanikiwa kujenga nguzo imara...
Insta ya Cristiano Ronaldo imenifanya nimkumbuke Ngassa na Kaseja.
"Kiyumbi nenda Instagram kuna Email nimekutumia", huu ndiyo ujumbe wa simu wa kwanza kuusoma leo hii kwenye simu yangu kutoka...