Kichuya hayupo, kabaki Emmanuel Okwi wa kuwaua YANGA
Emmanuel Okwi yuko hivo kwa sasa, anajiona kama kiongozi mkuu ndani ya timu ya Simba. Jambo ambalo ni zuri sana.
Pesa ya KICHUYA, Inauwezo wa kununua kina KICHUYA 6 wengine.
Mshahara anaoupata hata angekua mwanao ungemruhusu tuu aende.
Hii Perfume ya MANARA, haiwaumizi kina KICHUYA?
Hawaumia kuona Haji Manara anakiuza kipaji chake?, hebu waumizwe na hii hali kisha watafute wasimamizi wazuri wa vipaji vyao.
Tatizo la KICHUYA ni kuwa na miguu na akili kama za NGASSA na BOBAN
Kuna vingi vya kukumbuka sana kwenye dunia yetu hii ya mpira. Dunia ambayo haijawahi hata siku moja kupata mwanga.
Natamani leo Amunike awaite Ajib na Kichuya!
Macho yangu yalikuwa makini sana tulipokuwa kwenye dimba la Nambole. Dimba ambalo ni gumu sana. Nilijaribu kuiweka presha pembeni na...
Kichuya ni ile ngoma ivumayo sana, sasa yaelekea kupasuka?
ACHANA na nafasi ya wazi aliyopoteza kwa kushindwa kutulia na kufunga kwa kichwa mwanzoni mwa kipindi cha kwanza katika mchezo...
Kichuya, Nyoni watemwa Taifa Stars.
Kocha Mkuu wa timu ya Soka ya Tanzania (Taifa Stars), Emmanuel Amunike ametangaza kikosi cha wachezaji 30 kwa ajili ya...
Aliye karibu na Kichuya amng’ate sikio ‘fastaaa’.
Misimu miwili imeshakamilika akiwa katika ardhi yenye udongo mwekundu, udongo ambao upo kwenye mbuga ya msimbazi, mbuga pekee yenye mnyama...
Kikosi bora cha ligi kuu Tanzania 2017/2018.
1: Aishi Manula. Golikipa bora wa Tanzania kwa misimu miwili iliyopita, kuilinda milingoti mitatu ya Azam Fc kulimpa nafasi ƴya...