Spocha

02:00Asb: Morocco Baba Lao Afrika

Sambaza....

Morocco ndio timu pekee kutoka Afrika kuwahi kufika nusu fainali na kucheza mchezo wa mshindi watatu katika fainali za kombe la Dunia.

Morroco ilifanya hivyo katika fainali za kombe la Dunia mwaka 2022 nchini Qatar ambapo Argentina waliibuka mabingwa.


Sambaza....