ASFC

Wananchi wanashuka dimbani kuifwata Simba.

Klabu ya soka ya Yanga leo jioni itashuka dimbani katika mchezo wa raundi ya nne ya kombe la FA maarufu kama Azamsports Federation Cup. Yanga watakua nyumbani wakiwakaribisha Tanzania Prisons katika uwanja wa Azam Complex Chamanzi saa moja jioni mchezo unaotarajiwa kuwa wa upinzani wa hali ya juu kutokana na...
1 40 41 42 43 44 64
Page 42 of 64