Blog

Hongera Ambokile Eliudi!

Tovuti ya kandanda imeendelea kuwapongeza wachezaji wa Ligi Kuu wanaofunga mabao mengi katika kila mwezi. Mwezi wa nane wakati ligi ikianza alikuwa ni Meddie Kagere. Hatimae David Ambokile Eliud ameibuka kuwa mfungaji ambae atapewa zawadi kutoka tovuti yetu ya kandanda. Tovuti itamtafuta Ambokile na kumkabidhi zawadi yake hivi karibuni. Mbeya City vs...
Ligi Kuu

Nani kuibuka galacha wa mabao wa Mwezi wa Tisa?

Tovuti ya kandanda inahifadhi kumbukumbu za idadi ya magoli yaliyofungwa wakati wa mechi za Ligi Kuu, Tukiwa na lengo la kuwazawadia wachezaji wanaoongoza katika ufungwaji magoli kila mwezi. Kwa mwezi uliopita (Wa nane), Meddie Kagere ndio alikuwa kinara wa mabao. Mwezi utafungwa kwa mechi kali ya watani wa jadi, Simba vs...
Ligi Kuu

Lipuli haijapendekeza mabadiliko ya ratiba

Baada ya tetesi kuenea kuwa Mechi kati ya Simba na Lipuli iliyobadilishwa ratiba, imeombwa kuchezwa kama ilivyopangwa awali, Msemaji wa Lipuli Fc, Clement Sanga, amekanusha. Ratiba ya mechi hii ilibadilishwa kutokana na kambi ya timu ya Taifa, ambayo ilikuwa na wachezaji wengi wa klabu ya Simba Sc, ambao kwa sasa...
Ligi Kuu

Manara awashukia mashabiki wa ‘mitandaoni’.

Anaandika Msemaji wa Klabu ya Simba Sc, Haji Manara. Salaam ...wakati mwingine najiuliza nini wanadaamu wanataka? hasa washabiki wa Mpira!! Nimetalii kidogo kwenye magroup(makundi) machache ya Wanasimba kwenye WhatsApp (mtandao) nimeshangaa baadhi yetu kutokuridhika na ushindi wa leo (jana) wa goli moja dhidi ya Prisons!! Wengine kwenye Instagram wanafika mbali...
Ligi Kuu

Na safari ianze sasa! Ligi Kuu!

Unaweza kubofya mechi ambayo ungependa ifuatilia hapo. Pazia La Ligi Kuu Soka Tanzania Bara Kwa Msimu Wa Mwaka 2018/2019 Linatarajiwa Kufunguliwa rasmi Jumatano hii ambapo jumla ya viwanja sita vya miji ya Dar es Salaam, Pwani, Mwanza, Tanga, Singida na Bukoba vitawaka moto. Mabingwa watetezi Simba Sports Club watakuwa nyumbani...
EPLUhamisho

Wayne Rooney anaelekea kustaafu.

Mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Manchester United, Wayne Rooney, aliecheza kwa mfanikio katika klabu hiyo kabla ya kurudi tena katika klabu yake ya awali ya Everton FC, anatarajia kwenda marekani. Imeripotiwa na skysports.com kuwa kwa sasa yupo katika mazungumzo na klabu ya DC United  yenye makazi yake pale Washington DC. Wayne...
Ligi Kuu

Nyundo za Kamati ya Masaa 72 kwa vilabu hizi hapa

Mechi namba 171 (Njombe Mji 0 vs Simba 2). Klabu ya Simba imepigwa faini ya sh. 500,000 (laki tano) kutokana na kuonyesha vitendo vinavyoashiria ushirikina katika mechi hiyo iliyofanyika Aprili 3, 2018 kwenye Uwanja wa Sabasaba mjini Njombe, ikiwemo pia mshabiki mmoja wa timu hiyo kuingia uwanjani na kuchukua taulo la...
1 60 61 62 63 64
Page 62 of 64