Unaweza soma hizi pia..
Julio: Nazifahamu Timu za Tanzania, KMC Hatushuki Daraja
Nawaheshimu Prisons lakini sina hofu kwasabu timu ni zile zile ambazo tunazifahamu, na mimi nazifahamu vizuri timu za Tanzania
KMC: Prisons na Mbeya City Watatuweka Kwenye Ramani
Tutazimia uwanjani, tutalala uwanjani, ilimradi tuhakikishe Manispaa ya Kinondoni inaendelea kuwepo kwenye ramani ya Ligi kuu msimu unaokuja, asanteni
JKT Queens Mabingwa Wapya wa Ligi Kuu ya Wanawake
JKT Queens ambao wamechukua ubingwa bila kupoteza mchezo hata mmoja sasa watahamishia nguvu zao katika michuano ya kanda ya Cecafa ili kupata mwakilishi ambae atakwenda kuiwakilisha kanda hii katika michezo ya Ligi ya Mabingwa Afrika.
Simba na JKT Vitani Kuamua Ubingwa Leo.
Endapo watanyakua ubingwa huo maana yake watakua wamewalipa kaka zao wa JKT Tanzania ambao wametwaa ubingwa wa Ligi ya Champioship na kurudi Ligi Kuu.