Thomas Mselemu, Mtaalamu wetu wa masuala ya masoko mwenye ujuzi wa kuchambua kandanda na kupiga picha pia, anaifanya familia ionekane familia. Kipaji chake na elimu anaitumia vyema kuiweka tovuti katika malengo yake.
Kiungo Ibrahim Ajib aliekosa nafasi katika klabu ya Simba baada ya kurejea akitokea Yanga huenda akatolewa katika timu baada kushindwa kugombea nafasi mbele ya kina Chama, Luis, Kahata na Dilunga.
Uwanja huo ulijengwa katika awamu ya pili ya uongozi marehemu Benjamin Mkapa na kuanza kutumika mwaka 2007. Mpaka sasa uwanja huo unashika nafasi ya 11 kwa ukubwa barani Afrika.
Klabu ya soka ya Yanga imeonyesha kusikitishwa na kuomba radhi kutokana na vitendo hivyo vya kocha wao. Yanga imemaliza Ligi ikiwa nafasi ya pili nyuma ya Simba sc.
ikiwa ni sehemu ya makubaliano ya kuvunja mkataba wa mwaka mmoja uliobaki wa Mwaminyeto huku kiasi cha fedha atakachopokea Mwamunyeto mwenyewe kikibaki kua ni siri.
Vandebroeck kukatwa mwisho wa msimu na nafasi yake akitajwa kuchuliwa na Florentine Ibenge, ishu ni stori mpya ya kocha msaidizi pamoja na meneja wa timu.