Amunike ajianika Ugenini
Tanzania ilikuwa mgeni wa Uganda ambayo imekuwa na matokeo mazuri nyumbani kwao. Ulikuwa mtihani mgumu sana wa kwanza kwa Emmanuel Amunike, lakini kwa kiasi kikubwa anastahili pongezi. Kipi alichokionesha katika mechi yake ya kwanza ya ugenini ? Kwanza mfumo wake ulikuwa tofauti na mfumo ambao wengi tulikuwa tunautegemea ambao aliamua...