Galacha wetu wa kukuletea stori mwezi machi huyu hapa!
Kila mwezi tutakuwa tukikuletea mtu ambae amefanikiwa kuwafikia wasomaji wetu wengi katika mwezi husika. Hivyo basi kwa mwezi wa machi, ni Thomas Mselemu unaweza kusoma stori zake zilizotia fora kwa mwezi huo. Hizi ndio stori zake zilizosomwa zaidi. Walipo’chemka’ Simba ni hapa! Mkude ananifanya na mimi nitamani kucheza namba sita!...