Onyango Haendi Popote, Nabi Akiri Kusikitishwa Kukosa Kibarua
Kambi ya Nasraddine Nabi imethibisha kusikitishwa na kitendo cha Kazier Chiefs kumtangaza kocha mpya licha ya kukaa katika makubaliano kwa muda mrefu
Breaking news zote ambazo hazithibitishwa au ni Umbea tu wa mtaani. Ikiangalia masuala yanayohusu mpira wa miguu pekee tu. Kandanda hufanya utafiti kwenye baadhi ya habari hizi na kuzitolea ufafanuzi sahihi.