Mabingwa Afrika

Do or die! Yaani Kufanya au Kufa

Sambaza....

Simba SC wanasema ‘Do or Die’ tafsiri yake bila shaka ni ‘Ushindi ni Lazima’, Katika mpira chochote kinaweza tokea, lakini ni vyema mashabiki kwenda na kuisapoti timu yao.

AS Vita pia wao ni kama wameipokea kauli hii maana wameonyesha kuja kivita… Simba ana matumaini makubwa uwanja wa nyumbani, sababu hajapoteza mechi hata moja hatua ya mkundi nyumbani. Wakati huo huo AS Vita pia hafanikiwa kufunga hata goli moja ugenini kama ilivyo kwa Simba Sc. Hakika hii ni fainali zaidi ya fainali uzijuazo.

http://www.kandanda.co.tz/mechi/simba-sc-vs-as-v-club/


Sambaza....
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.