Sambaza....

Timu ya soka ya Villareal maarufu kama “Nyambizi wa manjano” ya nchini Hispania hawana jezi za ugenini.

Manyambizi hao hawakuwahi kuvaa jezi za ugenini tangu zamani “enzi na enzi”, mara zote huvaa jezi zao maarufu za wakati wote (Njano).
Iwe ugenini ama nyumbani Nyambizi huwa wanavaa jezi za njano.


Sambaza....