
Mashabiki wa Yanga
Hii hapa ratiba ya VPL, michezo iliyobakia
Mbio za Ubingwa ni kali sana kwa watani wa jadi, Azam FC na Singida Utd. Nani kuchukua kombe msimu huu? Endelea kufuatilia hapa hapa
Tano Bora VPL
# | Timu | P | W | D | L | F | A | GD | Pts |
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
1 | Simba SC | 134 | 90 | 32 | 12 | 253 | 77 | 176 | 302 |
2 | Yanga SC | 129 | 76 | 36 | 17 | 182 | 85 | 97 | 264 |
3 | Azam FC | 130 | 66 | 40 | 24 | 174 | 93 | 81 | 238 |
4 | Tanzania Prisons | 125 | 39 | 50 | 36 | 107 | 107 | 0 | 167 |
5 | Mtibwa Sugar FC | 125 | 39 | 39 | 47 | 102 | 106 | -4 | 156 |
Mechi zilizosalia Ligi Kuu
Tarehe | Mwenyeji | - | Mgeni | Uwanja |
---|
Unaweza soma hizi pia..
Rafiki yangu Ajib ananipa unyonge!
Ajib hajui mpira? Hapana. Kuna timu haitamani kipaji cha Ajib? Hapana. Katika ubora wake kuna timu katika ligi yetu Ajib anaweza kukaa benchi?
Juma Mgunda na utamu wa Coastal Union yake!
Mgunda mpaka sasa ameiongoza Coastal Union katika michezo 10 ya Ligi.
Alli Kamwe: Lengo Yanga na sio Mayele!
Mayele ni mchezaji muhimu kwenye Timu. Yanga inamuhitaji zaidi akiwa Fiti uwanjani kuliko yeye anavyokihitaji kiatu cha Ufungaji bora kabatini kwake.
Msemaji Simba: Mambo ni magumu!
Kila mwanasimba anatakiwa kufahamu hilo na kukubali mambo ni magumu.