Mh. Mwakyembe…“Winners Take Control” -1
Mjadala mkubwa hivi karibuni umekuwa ni utaratibu ambao unatazamiwa kuletwa katika Ligi Kuu Tanzania bara, fuatilia makala hii ambayo inakupa kwa undani mtazamo wa suala hili kutoka kwa mwandishi.
Corona inatufunza kuwa Mpira unatutibu mengi
Kila mtu sasa anatamani aangalie hata marudio tu ya mechi zilizopita, huku mashabiki wa Liverpool wakilia pia ubingwa wao.
Unataka kuanzisha klabu? ipande Ligi Kuu? Tazama hii..
Kuanzisha timu si tu kuunda Group la WhatsApp au kukusanya vijana na kuandaa katiba ya timu na kwenda kusajili BMT pekee. Kuna vitu muhimu vingi.
Mshambuliaji wa Simba atabiri mechi yao na Yanga
Wakati aa enzi zake Athumani Machupa alikua mshambuliaji hatari akiitumikia Simba huku akiwa na muunganiko wa hatari na Emmanuel Gabriel Mwakyusa "Batgol".
TAFAKURI JADIDI!: Upangwaji matokeo katika Ligi Yetu
Dhana ya kutokuwa na hatia ni kanuni ya kisheria ambayo mtu huchukuliwa kuwa hana hatia hadi athibitishwe na hatia
Mo Dewji aibuka upya, awaomba msamaha Wanamsimbazi
Baada ya kutolewa katika mashindano hayo ya kimataifa kwa sasa Simba imejipanga kuhakikisha inatetea taji lake la ligi kuu Tanzania bara, huku ikianza vizuri kwa ushindi wa goli 3-1 dhidi ya JKT Tanzania katika mchezo wa kwanza wa ligi.
Unayakumbuka matukio haya? Matukio 10 yaliyoitikisa ligi msimu wa 2018/19.
Kipindi haya yote yanatokea, kumbe Msimamo wa TFF ulikuwa na kasoro, Kumbe Kagera Sugar ilibidi ndio wakacheze Playoff na Stand United Washuke daraja jumla jumla…Tff bhana we acha tu.
Ligi Kuu yetu hii hapa, kaa tayari kufuatilia hapa pia
Kandanda haijakuacha nyuma pia, kama ilivyo utaratibu wetu tutaendelea kukuletea ratiba, matokeo bila kusahau wafungaji bora wa kila mwezi wa Ligi Kuu.
Yanga ina PRE-SEASON mbovu msimu huu!
Simba watacheza na Township Rollers wapinzani wa kimataifa wa Yanga katika mchezo wa awali. Baada ya hapo watacheza dhidi ya Platnumz FC, Mamelodi Sundowns, Kaizer Chiefs.
Tahadhari ya wizi ndani ya kambi ya klabu ya Simba Afrika Ya Kusini.
Polisi wa Afrika ya kusini walithibitisha kuibiwa kwa pesa taslimu Paundi 500 ambayo ni sawa na zaidi ya shilingi million 1.4 za kitanzania. Polisi walifanikiwa kuwatia hatiani wafanyakazi watano