Championship League

Championship League

Madrid 3, City 3. Ya Kibabe

Mechi Bora sana kuanzia mbinu mpaka uwezo wa mchezaji mmoja mmoja wametupa mechi Bora sana yenye hadhi ya UEFA Champions League 4-4-2 ya Real Madrid kama kawaida yao ni kufanya Build-up kuanzia chini kupitia kwa Viungo wao wawili(Kroos & Camavinga) na kucheza pembeni zaidi kupitia kwa Runners wao(Vinicius JR, Rodrygo...