Mashabiki wa Mbeya City wakiwa katika uwanja wa Sokoine

Mbeya City vs Singida United

Sambaza....

Ni Mechi ya KUJINASUA... Timu zote zinapatikana katika ukanda wa hatari. Mbeya City tayari imeshacheza michezo 10 ikiwa na alama zake 8 katika nafasi ya 18 huku Singida United imeshacheza mechi 11 ikiwa na alama 4 pekee katika nafasi ya 20 yaani ya mwisho katika msimamo wa ligi.

0 - 1
Mwisho

Mbeya City FC

Singida Utd FC

Baada

Ni Mechi ya KUJINASUA…
Timu zote zinapatikana katika ukanda wa hatari. Mbeya City tayari imeshacheza michezo 10 ikiwa na alama zake 8 katika nafasi ya 18 huku Singida United imeshacheza mechi 11 ikiwa na alama 4 pekee katika nafasi ya 20 yaani ya mwisho katika msimamo wa ligi.
Ni mechi nzuri kwa kuitazama kama unahitaji kuona jihadi za wachezaji. Licha ya Mbeya City kuwa katika uwanja wake wa nyumbani lakini, Matokeo ya mechi hii hayatabiriki kwakuwa timu zote zinapambania kuw akatika nafasi nzuri kabla ya Krismas na Mwaka mpya.

Uwanja

Sokoine

Taarifa

Tarehe Muda Ligi Msimu Mwisho
23/11/2019 4:00 pm TPL 2019-2020 90'

Sambaza....
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.