UCL: Valverde awataka wachezaji wake kupambana bila ya Lionel Messi.
Meneja wa klabu bingwa nchini Hispania FC Barcelona Ernesto Valverde amekitaka kikosi chake kujifunza kupambana bila ya nahodha na mshambuliaji Lionel Messi, ambaye atakosa baadhi ya michezo, kufuatia kupata jeraha la mkono mwishoni mwa juma lililopita, wakati wa mchezo wa La Liga dhidi ya Sevilla CF. Valverde ametoa tamko la...