Sambaza....

Mlinda mlango wa timu ya taifa ya Mexico Guillermo Ochoa mara zote huonekana na kuibuka katika mashindano ya kombe la Dunia pekee na mashindano yakiisha na yeye hupotea. Kipa huyo kwa sasa ana Umri wa miaka 38 na ameshiriki katika kombe la dunia mara tano mfululizo.

Alianza kuonekana kombe la dunia 2006 kisha 2010, 2014, 2018 na 2022.
Amevichezea vilabu kama vile Maerica (2004-2011), Ajaccio (2011-2014), Malaga (22014-2017), Granada (2016-2017) kwa mkopo) na sasa anaichezea Salernitana ya Nchini Italia.


Sambaza....