Mabingwa Afrika

Sisi tuna mashabiki wengi Tanzania- Township Rollers

Sambaza kwa marafiki....

Wapinzani wa Yanga katika michuano ya ligi ya mabingwa barani Africa, Township Rollers wamedai kuwa hapa Tanzania wana mashabiki wengi sana.

Akizungumza na waandishi wa Habari nahodha wa wa klabu hiyo amedai kuwa anajua hapa Tanzania wana mashabiki wengi.

“Mara ya mwisho kuja hapa tulishangiliwa na mashabiki wengi sana hapa, najua watakuwepo tena katika mechi ya leo”. Amedai nahodha huyo wa Township Rollers.

Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.