UhamishoDonald Ngoma atemwa na Azam FcMartin Kiyumbi4 years agoAliyewahi kuwa mshambuliaji Yanga , Donald Ngoma ambaye kwa kipindi hiki alikuwa kwenye timu ya Azam FC ameachana na klabu...
Ligi KuuKwa misimu miwili wageni wanakimbiza ufungaji!Thomas Mselemu4 years agoHuku namba wachezaji wa kigeni waliofanya vizuri katika ufungaji wa mabao wakiwa wameondoka nchini kina Emmanuel Okwi na Heritier Makambo.
ASFCAzam Fc ni mabingwa wa fainali ya shirikishoThomas Mselemu5 years agoAzam Fc itawakilisha Tanzania katika michuano ya Ligi ya Shirikisho Afrika
Ligi KuuBocco awapiga chini kina Ngoma na Adam wa Prisons.Thomas Mselemu5 years agoJohn Bocco aliukosa mchezo mmoja dhidi ya Ruvu Shooting kutokana na kuwepo kambi ya timu ya Taifa.
Ligi KuuBaada ya Ngoma na Bocco kutupia tazama hapa vita ya ufungaji bora ilivyonoga!Thomas Mselemu5 years agoTazama hapa jinsi mchuano ulivyo mkali kisha toa maoni yako. Je kiatu kitabaki Tanzania kwa wazawa au kitaenda kwa mgeni?
UhamishoDonald Ngoma apata dili jipya!Thomas Mselemu5 years agoMshambuliaji mrefu na msumbufu mbele ya lango Donald Ndombo Ngoma leo amemwaga wino na kusaini dili jipya .
Ligi KuuIdd Cheche: Tumejipanga.Issack John5 years agoKlabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, itaingia vitani kuwania pointi tatu muhimu kwa kuvaana na JKT Tanzania,...
Ligi KuuRasmi: Ngoma kurejea uwanjani, mechi dhidi ya Lipuli.Issack John6 years agoMshambuliaji wa timu ya soka ya Azam FC Donald Ngoma huenda akaonekana kwa mara ya kwanza kunako michuano ya ligi...
Ligi KuuNgoma kuanza kugawa dozi hizi karibuni.Issack John6 years agoMshambuliaji wa wanarambaramba Azam FC Mzimbabwe Donald Ngoma anatarajiwa kurejea dimbani hivi karibuni licha ya taarifa ya klabu hiyo kuthibitisha...
UhamishoDonald Ngoma rasmi Azam!Thomas Mselemu6 years agoBaada ya kuvunja mkataba wake na klabu ya Yanga kutokana na kutokuitumikia kwa muda mrefu mshambuliaji Mzimbabwe Donald Ngoma ni...