John Bocco vs Al-Ahly
Ligi Kuu

Baada ya Ngoma na Bocco kutupia tazama hapa vita ya ufungaji bora ilivyonoga!

Sambaza....

Ligi Kuu Bara imeendelea leo kwa michezo miwili na kesho pia itaendelea kutimua vumbi. Pamoja na vita ya kuwania ubingwa kati ya Simba Yanga na Azam f na kuepuka kushuka daraja kwa timu za African Lyon, Ndanda, Biashara na Singida utd, pia kuna vita nyingine ya kuwania ufungaji bora.

Tazama hapa jinsi mchuano ulivyo mkali kisha toa maoni yako. Je kiatu kitabaki Tanzania kwa wazawa au kitaenda kwa mgeni?


Sambaza....
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.