Uhamisho

Donald Ngoma apata dili jipya!

Sambaza....

Mshambuliaji mrefu na msumbufu mbele ya lango Donald Ndombo Ngoma leo amemwaga wino na kusaini dili jipya hivyo kumfanya aendelee kusalia katika Ligi Kuu Bara.

Donald Ngoma raia wa Zimbabwe leo amesaini kandarasi ya mwaka mmoja ili kuendelea kuitumikia klabu ya soka ya Azam fc aliyojiunga nayo mwaka jana akitokea Yanga sc ya Tanzania Bara pia.


Sambaza....
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.