Baraka Mbolembole

Mwandishi na Mchambuzi mkongwe na aliyebobea katika familia ya kandanda. Baraka anandika habari na uchambuzi wenye tafakari na jicho la tatu ndani yake. Ukimuelewa utapata ‘madini’ mazuri kutoka kwake, kwake yeye ‘spedi’ ni ‘spedi’ na ‘kijiko’ ni ‘kijiko’.
Blog

Manji ni shujaa anayesalitiwa Yanga SC

WANACHAMA/ mashabiki na wapenzi wa Yanga SC wanaweza kupinga kila kitu- kumkataa mwenyekiti wao wa muda, Thobias Lingalanagala, Shirikisho la soka nchiniTFF na hata Baraza la michezo Tanzania ( BMT), lakini katu hawawezi kumshawishi, Yusuph Manji kurejea kuwa mwenyekiti wa klabu yao kwa mara nyingine. BARUA YA KUJIUZULU Nimewahi kuandika...
BlogUhamisho

Jakaka Tuyisenge ni usajili stahili Simba, si Ulimwengu.

KUMSAINI, Thomas Ulimwengu kama nyongeza katika safu ya mashambulizi ni ´kamari´ itakayowagharimu sana Simba SC kama malengo yao ni kufanya vizuri katika michuano ya Klabu Bingwa Afrika 2018/19. Wakati wa usajili wa dirisha kubwa katikati ya mwaka huu, Simba iliwasaini washambuliaji wanne wapya. Marcel Kaheza ambaye alifunga magoli 15 katika...
Blog

Kipaji, nidhamu, changamoto lakini si wake za wachezaji wenzake.

Katika mojawapo ya matoleo ya mwisho mwisho ya Jarida la mpira wa miguu-Number10 mwezi April, 2011 niliandika makala iliyobebwa na kichwa cha habari ´Abdulhalim Humud: Aliipenda Simba, ila changamoto zimemshinda´. Ndani ya makala yale nilimchambua, Humud katika mambo makubwa matatu. Kipaji, nidhamu, na changamoto. Hakika si rahisi kupata kipaji kipya...
Blog

Mechi 20, Magoli 20 hakuna kama Samatta Ulaya yote.

NAHODHA wa Tanzania, Mbwana Samatta usiku wa kuamkia leo alifunga magoli mawili ya harakaharaka dakika za mwisho na kuirudisha timu yake ya KRC Genk kileleni mwa msimamo wa ligi kuu Ubelgiji baada ya kuichapa Royal Antwerp mabao 4-2. Genk walipata ushindi huo wakiwa ugenini na sasa wapo mbele kwa alama...
Ligi Kuu

Kakolanya; Sitazami rekodi zangu binafsi, hii ni ligi.

GOLIKIPA namba moja wa Yanga SC, Beno Kakolanya usiku wa Jumanne hii aliendeleza kiwango chake kizuri na kuisaidia timu yake kuendeleza vipigo kwa kila mpinzani wao anayekuja uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Beno ambaye ameruhusu goli moja tu katika michezo saba aliyocheza msimu huu aliiongoza Yanga kuichapa Lipuli FC...
Blog

Siku Tisa bila MO Dewji , Hans Poppe aliiokoa Simba.

SIKU tisa tu bila uwepo wa ‘mwekezaji mtarajiwa’ Mohamed Dewji ‘MO’ klabu ya Simba SC ‘ilitengeneza’ deni lisilopungua Shilingi milioni 70 katika hoteli moja ya kifahari jijini Dar es Salaam. MO alitekwa na kushikiliwa kwa muda wa siku tisa mapema mwezi huu na watu wasiojulikana. Mwenyekiti wa Kamati ya usajili...
Ligi Kuu

Goli la Ngoma katika uwanja ´mbovu´ liwastue TFF sasa.

DONALD Dombo Ngoma alifunga goli pekee na kuipa ushindi muhimu timu yake ya Azam FC katika mchezo wa ugenini dhidi ya Singida United jana Jumapili lakini kikubwa nilichokiona katika mchezo huo ni ubovu wa eneo la kuchezea ´pitch´ ya uwanja wa Namfua. Uwanja huo ambao ulifanyiwa matengenezo makubwa mara baada...
1 6 7 8 9 10 14
Page 8 of 14