Baraka Mbolembole

Mwandishi na Mchambuzi mkongwe na aliyebobea katika familia ya kandanda. Baraka anandika habari na uchambuzi wenye tafakari na jicho la tatu ndani yake. Ukimuelewa utapata ‘madini’ mazuri kutoka kwake, kwake yeye ‘spedi’ ni ‘spedi’ na ‘kijiko’ ni ‘kijiko’.
Ligi Kuu

Okwi na magoli tisa katika michezo mitano Oktoba.

BAADA ya kuanza msimu kwa mwendo wa chini, mfungaji bora wa ligi kuu Tanzania Bara msimu uliopita, Mganda, Emmanuel Okwi ameanza kuwasha moto wake mwezi huu baada ya kufunga magoli saba- ikiwemo ´HatTrick´ katika michezo mitatu iliyopita ya Simba SC. Okwi ilimlazimu kusubiri hadi mchezo wa mzunguko wa saba kufunga...
Ligi Kuu

Kaseja: Yanga walistahili kushinda, lakini…!

NAHODHA wa KMC FC, Juma Kaseja alishuhudia Yanga SC wakigongesha nguzo mara tatu wakati wa pambano lao la ligi kuu Tanzania Bara jana Alhamis katika uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Mshindi huyo mara saba wa ligi kuu alishuhudia kiki ya mkwaju wa faulo ya kiungo Feisal Salum ‘ Fei...
Ligi Kuu

Huyu Zahera na mbinu zake zitaipa Yanga taji la ligi kuu msimu huu

Kocha Zahera Mwinyi alifanya mabadiliko mawili ya haraka haraka ndani ya dakika tatu na kuamua kutumia washambuliaji wane- wawili asilia na wawili wenye uifahamu wa kuzunguka eneo lote la mashambulizi. Wala hakuogopa mashambulizi kadhaa mazito yaliyofanywa na KMC FC wakati, Mcongo huyo alipoamua kuwapumzisha viungo Mzimbabwe, Thaban Kamusoko dakika ya...
Ligi Kuu

‘Niliamini ni jaribio letu la mwisho..’-Fei Toto

“ Lilikuwa ni jaribio zuri, niliona upenyo wakati nakwenda kupiga mpira ule na nilijua linaweza kuwa shuti letu la mwisho kupiga golini kwa KMC. Ilibidi nitulize akili yangu na namshukuru Mungu niliweza kupiga na mpira ulikwenda sahihi. Inasisimua kufunga goli la ushindi wakati kama ule lakini usisahau kuwa tulifanya kazi...
Ligi Kuu

Zimbwe Jr anaimaliza Simba, timu ina-mmiss Kwassi

MOHAMED Hussein ‘Zimbwe Jr’ ameendelea kutumika katika kikosi cha kwanza cha Simba SC licha ya Mghana, Asante Kwassi kurejea uwanjani kutokana na majeraha aliyoyapata katika mchezo wa ufunguzi wa msimu dhidi ya Tanzania Prisons mwezi Agosti. Zimbwe Jr- mchezaji bora wa ligi kuu Tanzania Bara msimu wa 2016/17 alitumika zaidi...
Ligi Kuu

Kwanini Chama hapigi mashuti?

NIMEMFUATILIA kiungo mshambulizi wa Simba SC, Mzambia, Claytous Chama katika michezo kadhaa na kugundua mchezaji huyo wa timu ya Taifa ya Zambia ni muoga wa kupiga mashuti kutokana na kutokuwa fiti. Chama alifunga goli lake la kwanza klabuni Simba siku ya jana Jumapili wakati Simba ilipoichapa Stand United 3-0 katika...
Ligi Kuu

Azam FC itaichapa Lyon!

MICHEZO mitatu ya ligi kuu Tanzania Bara inataraji kupigwa leo Ijumaa katika miji mitatu tofauti. Ndanda FC ambayo ilikwama mkoani Singida kutokana na hali ngumu ya kiuchumi wiki iliyopita watakuwa nyumbani Nang’wanda Stadium, Mtwara kuwakaribisha Mbeya City FC. Mwadui FC ambayo imeshinda mara moja tu katika michezo nane iliyopita itakuwa...
1 7 8 9 10 11 14
Page 9 of 14