
Zahera Yanga
Unaweza soma hizi pia..
Simba na Yanga kinawaka leo Uhuru.
Mchezo huo wa watani wa jadi unatarajiwa kuwa wa kuvutia kutokana na ushindani uliopo baina yao na matokeo ya sare katika raundi ya kwanza.
Kuelekea Derby: Makocha wakataa kupoteza mchezo huo.
Simba Queeens wanakwenda kukutana na Yanga Princess wakiwa kileleni na alama 26 sawa na Fountain Gate lakini wao wakiwazidi magoli. Yanga Princess wao wapo nafasi ya nne wakiwa na alama zao 21.
Watanzania tumeanza kuishi ndoto zetu katika kandanda!
Sasa Simba na Yanga zinapishana katika viwanja vya ndege vya Kimataifa wakienda kupambana na vigogo wengine Afrika, wakati pia tuna uhakika wakupata mechi nzuri kila weekend pale Kwa Mkapa
Singida na Azam kurudi uwanjani April kutafuta tiketi ya Kimataifa
Tayari ratiba ya michuano hiyo imeshatoka na sasa michezo ya robo fainali itapigwa kati ya Aprili mbili mpaka Aprili nane mwaka huu.