Ni Yanga pekee wanaoweza kumsaidia Kindoki
MWAKA 2004 nikiwa U18 nilikuwa sehemu ya kikosi cha Jamaica FC ya Mkoani Morogoro. Katika moja ya siku mbaya katika maisha yangu ya soka ilikuwa wakati kocha Ally Jangalu aliponifanyia mabadiliko dakika tano kabla ya kumalizika kwa kipindi cha kwanza. Ilikuwa ni katika mchezo wa kirafiki ndani ya uwanja wa...