Mabingwa Ulaya

PSG yachunguzwa kwa upangaji wa matokeo mechi ya UEFA.

Vyombo vya uchunguzi nchini Ufaransa vimeanza uchunguzi kwa klabu ya Paris Saint Germain iwapo kulikuwa na upangaji wa matokeo katika mchezo dhidi ya Red Star Belgrade katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya. Taarifa kutoka nchini Ufaransa zinasema kuwa katika mchezo huo ambapo PSG walishinda kwa mabao 6-1 kulikuwa...
Shirikisho Afrika

Amunike: Tunapaswa kujifunza kutokana na Makosa.

Kocha mkuu wa kikosi cha timu ya soka ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ Emmanuel Amunike amesema wataangalia makosa ambayo waliyafanya hadi kufungwa mabao 3-0 na Cape Verde na kuyarekebisha kabla ya mchezo wa Jumanne. Amunike amesema licha ya kufungwa lakini bado wanamchezo mwingine siku ya Jumanne na wanatakiwa kuangalia...
Blog

Monaco yamtangaza Thierry Henry kuwa kocha mkuu.

Klabu ya soka ya AS Monaco ya nchini Ufaransa imemtangaza mshambuliaji wa zamani wa klabu hiyo na vilabu vya Arsenal na Barcelona Thierry Henry kuwa kocha wao mkuu hadi Juni mwaka 2021. Henry ambaye alikuwa kocha msaidizi wa Ubeligiji katika fainali za kombe la Dunia anachukua nafasi ya Leonardo Jardim...
EPL

Spurs kutumia uwanja wao mpya mwezi Disemba.

Kikosi cha Tottenham Hotspur kina matumani ya kurejea kwenye uwanja wa White Hart Lane Disemba 26 mwaka huu, tayari kwa mapambano ya ligi kuu ya soka nchini England pamoja na michuano ya kimataifa. Taarifa zilizothibitishwa na uongozi wa klabu hiyo zinaeleza kuwa, uwanja wa White Hart Lane ambao umefanyiwa maboresho...
Blog

Monaco kumtangaza Henry kama mrithi wa Jardim

Mshambuliaji wa zamani wa Arsenal na Barcelona Thierry Henry ametajwa kuwa miongoni mwa makocha wanaotajwa kurithi kiti cha kocha Leonardo Jardim pindi atakapofukuzwa katika klabu ya Monaco. Henry mwenye umri wa miaka 41 ambaye alikuwa katika benchi la ufundi la timu ya Taifa ya Ubeligiji kama kocha Msaidizi kwenye michuano...
Serie A

Ventura apewa jukumu zito ligi kuu Seria A.

Kocha wa zamani wa timu ya Taifa ya Italy Gian Piero Ventura ameteuliwa kuwa kocha mkuu wa timu ya soka ya Chievo Verona inayoshiriki ligi kuu ya nchini Italia ikiwa ni masaa machache baada ya Lorenzo D’Anna kufutwa kazi kutokana na matokea mabovu. Ventura alikuwa hana kibarua toka mwezi Novemba...
BlogLa Liga

Vidal atoa la moyoni, hafurahii kukaa benchi.

Kiungo Raia wa Chile anayekipiga katika timu ya soka ya Barcelona na nchini Uhispania Arturo Vidal amesema hafurahii kuwekwa benchi katika mechi msimu huu toka ajiunge akitokea Bayern Munich. Vidal ambaye ameanza katika mechi mbili tu mpaka sasa pamoja na hilo pia amecheza akitokea benchi mara mbili, amesema jambo hilo...
Blog

Hii hapa list ya wachezaji 30 wanaowania tuzo ya Ballon d’Or.

Baada ya kusubiri kwa muda mrefu hatimaye majina 30 ya wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa kandanda duniani yamewekwa wazi. Aliyechukua tuzo hii kwa mwaka jana ni Cristiano Ronaldo kutoka timu ya Taifa ya Ureno na Juventus (Kipindi hicho alikuwa Real Madrid). Sergio Agüero (ARG / Manchester City) Alisson (BRE / Liverpool)...
1 20 21 22 23 24 34
Page 22 of 34