Blog

Arsenal watangaza kuingia mkataba mnono na Adidas.

Klabu ya soka ya Arsenal Jumatatu hii, imetangaza kuingia mkataba na kampuni ya utengenezaji wa vifaa vya michezo ya nchini Ujerumani Adidas, mkataba ambao unatarajiwa kuanza Julai mwakani. Adidas watachukua nafasi ya Puma ambao mkataba wao wa miaka mitano na klabu hiyo ya Kaskazini mwa London unafikia tamati mwishoni mwa...
Blog

Licha ya kesi ya Ubakaji, Ronaldo atajwa tuzo za Ballon d’Or.

Mshambuliaji wa Juventus na timu ya Taifa ya Ureno Cristiano Ronaldo amejumuhishwa kwenye majina ya awali ya wachezaji 10 ambao watawania tuzo ya mchezaji bora wa dunia za Ballon d’Or inayotolewa na Jarida maalumu la Ufaransa. Ronaldo ambaye ameshinda tuzo mbili zilizopita na tuzo tano kwa ujumla wake sawa na...
EPL

Shearer awatoa Arsenal, Chelsea mbio za Ubingwa EPL.

Mshambuliaji wa zamani wa Newcastle United Alan Shearer amesema ligi kuu ya England ni kama ya mafarasi wawili kwa sasa licha ya baadhi ya timu kuendelea kufanya vizuri mpaka sasa mechi nane zikiwa zimeshachezwa. Shearer amesema ingawa alama ambazo zinawatofautisha timu tano za juu ni alama mbili lakini bado anaziona...
Blog

Mbappe: Nilipaswa kufunga mabao mengi zaidi.

Mshambuliaji kinda wa Paris Saint-Germain Kylian Mbappe amesisitiza kwamba alitakiwa kufunga mabao mengi zaidi katika ushindi wa mabao 5-0 dhidi ya Lyon jana Jumapili licha ya kufanikiwa kufunga mabao manne pekee yake. Mbappe mwenye umri wa miaka 19 amesema kama angekuwa makini kuanzia katika dakika za mwanzo basi angefunga mabao...
Blog

TFF wakanusha taarifa za kumfungia Haji Manara.

Shirikisho la kandanda nchini (TFF) limeikana sauti inayosambazwa mitandaoni akisikika Rais Wallace Karia akitangaza kufungiwa kwa mkuu wa kitengo cha habari na mawasiliano wa Klabu ya Simba Haji Sunday Manara. Taarifa ya TFF iliyosainiwa na Afisa habari Clifford Mario Ndimbo imesema sauti hiyo sio ya Rais Karia na yote ambayo...
Ligi Kuu

Ninja: Bado sijafika kiwango cha Cannavaro ila nitapambana.

Beki wa timu ya Soka ya Yanga Abdallah Shaibu 'Ninja' amesema anaendelea kujifunza kutoka kwa wachezaji wenzake tangu alipojiunga na klabu hiyo miaka miwili iliyopita akitokea kisiwani Unguja. Ninja amesema pamoja na kutazamwa kama mrithi wa aliyekua nahodha na beki klabuni hapo Nadir Haroub Canavaro, lakini anaamini Bado kuna mambo...
Ligi Kuu

Zahera kuongeza wakimataifa wawili, Saba kufyekwa

Kocha mkuu wa timu ya Soka ya Yanga ya Mwinyi Zahera ameweka wazi mikakati yake ya kuongeza wachezaji kupitia dirisha dogo la usajili, hukua akiamini itamsaidia kufikia lengo la kurejesha heshima ya kutwaa ubingwa wa Tanzania bara ambao kwa sasa unashikiliwa na Wekundu Wa Msimbazi Simba SC. Zahera amesema lengo...
Mabingwa Ulaya

Hali ya afya ya Keita yazidi kuimarika

Kiungo wa majogoo wa jiji Liverpool Naby Keita, amesema anaendelea vizuri, baada ya kufikishwa hospitali usiku wa kuamkia jana, kufuatia majeraha ya mgongo alioyapata akiwa katika mchezo wa ligi ya mabingwa barani Ulaya dhidi ya SSC Napoli. Mchezo huo uliomalizika kwa Liverpool kufungwa bao moja kwa sifuri, ulishuhudia kiungo huyo...
EPL

Wenger, Conte watajwa kuwa warithi wa Mourihno.

Kocha wa Manchester United Jose Mourihno ndiye kocha ambaye amechaguliwa kwa kura nyingi kuwa kocha wa kwanza kuondoka katika ligi kuu England akifuatiwa na Mark Hughes wa Southampton. Kocha huyo ambaye ameandikisha matokeo mabovu toka katika michezo ya kujiandaa na msimu amepewa alama 8/11 kuondoka katika kibarua hicho huku Mark...
1 21 22 23 24 25 34
Page 23 of 34