Blog

Bartomeu amfungulia milango Guradiola kurejea Camp Nou.

Rais wa klabu ya soka ya Barcelona Josep Maria Bartomeu amesema mlango upo wazi kwa kocha Pep Guardiola  kurejea tena kwenye klabu hiyo kama atakuwa tayari kufanya hivyo. Bartomeu amesema alimpa nafasi kocha Guardiola kuendela kuifundisha klabu hiyo baada ya miaka minne ya mafanikio makubwa lakini aliamua kuondoka Camp Nou...
Blog

Asante Kotoko yamtangaza Charles Kwablan Akonnor kuwa kocha mkuu.

Klabu ya soka ya Asante Kotoko imethibitisha kuingia makubaliano ya miaka mitatu na nahodha wa zamani wa timu ya Taifa ya Ghana Charles Kwablan Akonnor, kuwa kocha mkuu wa timu hiyo Majuma machache baada ya kocha Paa Kwesi Fabin kuachia ngazi na kutajwa kuelekea Afrika Kusini. Akonnor amekubali kuchukua majukumu...
Blog

CAF yatangaza tarehe ya AFCON 2019, Cameroon huenda ikavuliwa uwenyeji.

Shirikisho la Kandanda Barani Afrika (CAF) limetangaza June 15 hadi Julai 13 kuwa Ndio tarehe rasmi ya kufanyika kwa mashindano ya Mataifa Afrika (AFCON). Hata hivyo katika mkutano wake uliofanyika Sharm el-Sheikh nchini Misri jana, CAF imeshindwa kuthibitisha kama mashindano hayo yatafanyika nchini Cameroon Kama ilivyopangwa hapo awali. CAF imesitisha...
Blog

Madagascar yapigwa marufuku kutumia uwanja wao wa nyumbani

Shirikisho la kandanda Barani Afrika limeufungia michezo mitatu uwanja wa Manispaa wa Mahamasina pamoja na kulitoza Shirikisho la Soka nchini Madagascar Faini ya shilingi 22,834,267 kufuatia vurugu zilizosababisha kifo cha mtu mmoja Septemba 9 mwaka huu. CAF imefikia hatua hiyo baada ya kutokea vurugu wakati Mashabiki wakitaka kuingia kwa nguvu...
Ligi Kuu

Ndugai mgeni Rasmi, mechi ya Simba na Yanga.

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, Job Ndugai anatarajiwa kuwa mgeni Rasmi katika mchezo wa ligi kuu soka Tanzania Bara utakaowakutanisha watani wa Jadi Simba na Yanga kwenye uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam Jumapili hii. Ndugai atashuhudia mchezo huo wa kwanza kwa msimu huu kuwakutanisha...
Ligi Kuu

Alliance yapata ushindi wa kwanza TPL.

Timu ya soka ya Alliance ya Jijini Mwanza imeonja kwa mara ya kwanza ushindi katika michezo ya ligi kuu toka ilipopanda baada ya kuichabanga timu ya Manispaa ya Kinondoni (KMC) kwa mabao 2-1. Mabao ya Dickson Ambundo na Juhudi Philimoni katika dakika ya tano na dakika ya 10 ndiyo yamepeleka...
Blog

CAF yaridhia Ghana Kuandaa AWCON.

Kamati Tendaji ya Shirikisho la Kandanda Barani Afrika (CAF) imeamua kutoivua Ghana uwenyeji wa Michuano ya Mataifa Afrika kwa upande wa Wanawake (AWCON). Awali taarifa zilisema kuwa Ghana ilipokonywa uwenyeji baada ya kuonekana kusuasua katika kufanya maandalizi, lakini katika kikao cha kamati hiyo kilichofanyika Alhamis nchini Misri, kimeamua kutoa ivua...
BlogShirikisho Afrika

Kichuya, Nyoni watemwa Taifa Stars.

Kocha Mkuu wa timu ya Soka ya Tanzania (Taifa Stars), Emmanuel Amunike ametangaza kikosi cha wachezaji 30 kwa ajili ya michezo miwili ya kufuzu AFCON dhidi ya Cape Verde Oktoba 12 na 16, 2018. Katika kikosi hicho wachezaji watatu kati ya Sita wa Simba ambao waliondolewa kuelekea mchezo dhidi ya...
1 22 23 24 25 26 34
Page 24 of 34