Sambaza....

Baada ya kusubiri kwa muda mrefu hatimaye majina 30 ya wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa kandanda duniani yamewekwa wazi.
Aliyechukua tuzo hii kwa mwaka jana ni Cristiano Ronaldo kutoka timu ya Taifa ya Ureno na Juventus (Kipindi hicho alikuwa Real Madrid).
Sergio Agüero (ARG / Manchester City)
Alisson (BRE / Liverpool)
Gareth Bale (GAL / Real Madrid)
Karim Benzema (FRA / Real Madrid)
Edinson Cavani (URU / PSG)
Thibaut Courtois (BEL / Chelsea)
Cristiano Ronaldo (POR / Juventus Turin)
Kevin De Bruyne (BEL / Manchester City)
Roberto Firmino (BRE / Liverpool)
Diego Godin (URU / Atlético Madrid)
Antoine Griezmann (FRA / Atlético Madrid)
Eden Hazard (BEL / Chelsea)
Isco (ESP / Real Madrid)
Harry Kane (ANG / Tottenham)
N’Golo Kanté (FRA / Chelsea)
Hugo Lloris (FRA / Tottenham)
Mario Mandzukic (CRO / Juventus Turin)
Sadio Mané (SEN / Liverpool)
Marcelo (BRE / Real Madrid)
Kylian Mbappé (FRA / PSG)
Lionel Messi (ARG / FC Barcelone)
Luka Modric (CRO / Real Madrid)
Neymar (BRE / PSG)
Jan Oblak (SLO / Atlético Madrid)
Paul Pogba (FRA / Manchester United)
Ivan Rakitic (CRO / FC Barcelone)
Mohamed Salah (EGY / Liverpool)
Sergio Ramos (ESP / Real Madrid)
Luis Suarez (URU / FC Barcelone)
Raphaël Varane (FRA / Real Madrid)
Mshindi atatangazwa Disemba 3 mwaka huu baada ya majina hayo kuchujwa na kufika majina matatu yatakayoingia kwenye Fainali.

Sambaza....