Ligi Kuu

Rasmi: Ngoma kurejea uwanjani, mechi dhidi ya Lipuli.

Mshambuliaji wa timu ya soka ya Azam FC Donald Ngoma huenda akaonekana kwa mara ya kwanza kunako michuano ya ligi kuu soka Tanzania Bara pale timu yake itakapokuwa ikipepetana na Lipuli FC siku ya Ijumaa. Ngoma ambaye amekuwa na mejaraha ya muda mrefu, ambayo yalimfanya kuvunja mkataba na Yanga na...
Blog

Eto’o: Messi ni mchezaji bora wa dunia wa muda wote.

Mshambuliaji wa zamani wa Barcelona Samuel Eto’o amesema Lionel Messi ndiye mchezaji bora wa soka wa muda wote licha ya kushindwa kutokea katika orodha ya majina matatu yanayowania tuzo za mwanasoka bora wa Ulaya na zile za shirikisho la soka ulimwenguni ‘FIFA’ zilizotolewa jana. Eto’o ambaye alicheza na Messi kati...
Ligi Kuu

Mashabiki wa Mbao waombwa kutotegemea makubwa.

Nahodha wa timu ya soka ya Mbao ya jijini Mwanza, Robert Ndaki amewaomba mashabiki wa timu hiyo kuwa watulivu na kutotegemea makubwa kutoka kwao kipindi hiki ambacho wanafanya vizuri bali wanachotakiwa ni kuwaombea na kuwaunga mkono kwa kila mchezo wa ligi. Ndaki amesema matokeo ambayo wanazidi kuyapata si kwamba ndio...
Ligi Kuu

Mbao FC, ‘Mambo Gawize’ waitoa Yanga kileleni.

Timu ya soka ya Mbao ‘Wabishi’ kutoka jijini Mwanza wameendelea kufanya vyema katika msimu wa 2018/2019 wa ligi kuu soka Tanzania Bara baada ya jioni ya leo kuibuka na ushindi mwembamba wa bao 1-0 dhidi ya timu ya soka ya Tanzania Prisons. Katika mchezo huo ambao ulikuwa wa kuvutia katika...
Blog

Masau Bwire aililia TFF,FIFA.

Klabu ya soka ya Ruvu Shooting ya Mlandizi Mkoani Pwani, imelitaka shirikisho la soka nchini ‘TFF’, kuwapatia vibali wachezaji wanane wa timu hiyo ili waweze kucheza mechi za ligi Kuu baada ya kukosa leseni kutokana na matatizo ya kimtandao kati ya TFF na shirikisho la soka ulimwenguni ‘FIFA’. Msemaji wa...
Ligi Kuu

Simba yawahi Dar kujiandaa na mechi dhidi ya Yanga.

Kikosi cha Wekundu wa Msimbazi Simba Sports Club kinatarajiwa kuwasiri jijini Dar es Salaam leo Jioni kujiandaa na mchezo wa ligi kuu soka Tanzania Bara dhidi ya watani zao Dar Young Africans Jumapili ya Septemba 30 mwaka huu. Simba ambao wametoka kupata ushindi mnono wa mabao 3-1 dhidi ya Mwadui...
Ligi Kuu

Hassan Dilunga kuwakosa Mbao FC.

Kiungo mshambuliaji Hassan Dilunga na Beki wa pembeni Asante Kwasi wataukosa mchezo wa ligi dhidi ya Mbao FC utakaofanyika siku ya Alhamis kwenye uwanja CCM kirumba kutokana na kuwa na Majeraha. Kocha mkuu wa Simba Patrick Aussems amesema wachezaji hao wanaungana na Mzamiru Yassin ambaye naye bado ana majeraha kuwa...
1 23 24 25 26 27 34
Page 25 of 34