Martin Kiyumbi

Mchambuzi
Mchambuzi wa mpira wa miguu, mwenye Shahada ya Ualimu. Martin amejiunga na timu ya kandanda toka mwaka 2017, moja kati ya wachambuzi wakongwe katika familia yetu.
Abdulhalim akiwa na wachezaji wenzake wa Mtibwa
Uhamisho

Abdulhalim Humoud tunamuuza nje na siyo Yanga- Mtibwa Sugar

  Baada ya jana mtandao huu kukuletea taarifa ya Yanga kumtaka Abdulhalim Humoud kutoka katika klabu ya Mtibwa Sugar ya Morogoro na viongozi kukaribisha mazungumzo kati yao na klabu inayomtaka. Kupitia Afisa Habari wa klabu hiyo Thobias Kifaru , amezidi kuuambia mtandao huu kuwa klabu hiyo ya Mtibwa Sugar iko...
Uhamisho

Simba na Yanga njooni mnisajili -Mwamunyeto

  Beki kisiki wa klabu ya Coastal Union Bakari Nyundo Mwamnyeto amedai kuwa kwa sasa yupo na klabu yake ya Coastal Union ambayo mpaka sasa ana mkataba nayo , hivo ni vyema kwa vilabu vinavyomtaka vije kuzungumza na Coastal Union. " Kwa sasa niko na mkataba na Coastal Union ,...
Tetesi

Beki wa Kenya aitamani Simba

Katika kipindi hiki ambacho timu mbalimbali zinatafuta wachezaji mbalimbali ili kuimarisha vikosi vyao kwa ajili ya msimu ujao , tetesi zimekuwa nyingi sana ambazo zimekuwa zikihusisha wachezaji mbalimbali na vilabu mbalimbali. Moja ya taarifa ambayo inazidi kuenea na habari ya beki wa KCB ya Kenya kutakiwa na klabu ya Simba...
Tetesi

Yanga kuibomoa Mtibwa, yamtaka Abdulhalim Humuod

  Ligi imesimama kwa sasa , kinachoendelea ni majadiliano ya namna gani ambavyo ligi itaweza kurudi tena baada ya kusimama kutokana na janga la Covid-19, janga ambalo limeikumba dunia nzima kwa sasa. Wakati dunia ikiwa ndani na vitu vingi vikiwa vimesimama kwa kiasi kikubwa , tetesi za usajili zinaendelea kuwepo...
Uhamisho

Siji Yanga, nitabaki TP Mazembe-Ambokile

  Mshambuliaji wa Tanzania Eliud Ambokile ambaye kwa sasa yuko katika klabu ya TP Mazembe ya nchini Congo amedai kuwa kwa sasa hafikirii kuondoka TP Mazembe kwa sasa ndiyo sehemu sahihi kwa afya ya mpira wake kwa sasa . "Sifikirii kuondoka TP Mazembe kwa sasa kutokana na hali ya mazingira...
Tetesi

Kagere na Mkude hawaendi kokote -Manara

  Kumekuwa na taarifa nyingi sana ambazo kuhusu baadhi ya wachezaji wa klabu ya Simba kuondoka Simba na kwenda kujiunga katika vilabu mbalimbali ndani na nje ya nchi . Hivi karibuni kulikuwepo na taarifa ya mshambuliaji hatari wa Simba , Meddie Kagere kutakiwa na vilabu mbalimbali nchini Hispania . Taarifa...
Ligi Kuu

Sare ni kawaida , sisi ni mabingwa- BUMBULI

Jana Yanga walitoa sare nyingine ya nne mfululizo dhidi ya Coastal Union katika uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga . Sare ambayo imewaweka katika mazingira magumu ya kufukuzia ubingwa wa Tanzania Bara . Yanga mpaka sasa hivi wako nyuma ya alama 21 dhidi ya mabingwa watetezi Simba ambao ndiyo wanaoongoza msimamo...
Ligi Kuu

Yanga haina njaa , Simba watakufa tarehe 8- BUMBULI

Jana kwenye mitandao ya kijamii kulikuwa na habari ambayo ilikuwa inazunguka kuhusiana na Yanga kushindwa kulipa mishahara yake . Yanga wamekanusha habari hiyo ambayo wamedai kuwa inawalenga kuwachafua wao kama wao pamoja na wadhamini wao GSM. Mtandao wa Kandanda.co.tz ulimtafuta Afisa Habari wa klabu hiyo Hassan Bumbuli ili kuzungumzia hili...
Ligi Kuu

GSM hawalipi mishahara YANGA – BUMBULI

  Baada ya kuwa na uvumi wa Yanga kutowalipa mishahara wachezaji wake , klabu hiyo kupitia ukurasa wake wa Instagram ulitoa taarifa ya klabu kukanusha uvumi huo. Baada ya kukanusha habari hiyo Afisa Habari wa klabu hiyo amedai kuwa mishahara ya klabu hiyo hailipwi na GSM, akizungumza na mtandao huu...
1 12 13 14 15 16 79
Page 14 of 79