Martin Kiyumbi

Mchambuzi
Mchambuzi wa mpira wa miguu, mwenye Shahada ya Ualimu. Martin amejiunga na timu ya kandanda toka mwaka 2017, moja kati ya wachambuzi wakongwe katika familia yetu.
Blog

Juma Mahadhi arejea kumpiga benchi Morrison !

Unaikumbuka mechi kati ya Yanga SC na TP Mazembe pale uwanja wa Taifa ? Mechi ambayo tajiri na aliyewahi kuwa mwenyekiti wa klabu hiyo , Yusuph Manji alipoamua kuwalipia mashabiki wa Yanga kiingilio na wakaingia bure. Tuachane na mambo ya kiingilio kwenye hiyo mechi. Kuna kitu kimoja tu ambacho huwa...
Blog

Kuna hela za kina AJIB zinachukuliwa na kina Diamond

Ukikanyaga kwenye jukwaa la uwanja wa Taifa kutazama siku ambayo Simba au Yanga wanacheza utagundua kitu kimoja kikubwa , timu hizi zinapendwa sana tena kupitilizwa . Mapenzi haya huwa hayaishii kwenye timu pekee , huwa yanaenda mbali mpaka kwa mchezaji mmoja mmoja. Mashabiki wengi wana mapenzi na hawa wachezaji wao...
Tetesi

Yanga yamtaka kiungo mkali zaidi ya Chama!

Inawezekana siku za hivi karibuni ligi kuu ya Tanzania bara itarudi tena baada ya kusimama kwa muda mrefu. Matumaini hayo yamekuja mara baada ya raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli kutoa matumaini hayo. John Kombe Magufuli amedai kuwa kama hali itaendelea kuwa vizuri anafikiria namna ya...
Tetesi

Yanga yamtaka beki mwenye rekodi ya kipekee

  Ligi kuu Tanzania bara mpaka sasa hivi imesimama kutokana na ugonjwa wa Corona. Lakini pamoja na kusimama kwake , mazungumzo ya namna ya kuirudisha ligi hii yanaendelea vizuri. Watu wengi mpaka sasa hivi wanasubiri ni siku gani ambayo ligi hii itarejea tena ili kumpata bingwa wa ligi kuu Tanzania...
Tetesi

GSM na Yanga wakosa hela ya kumsajili Mwamunyeto

Uongozi wa timu ya Coastal Union umesema kwamba mchezaji Bakari Nondo Mwamnyeto ataendelea kuhudumu katika klabu hiyo msimu ujao kwa sababu wameshindwa kupata muafaka kamili na uongozi wa Yanga ambao wameonyesha nia ya kumsajili. _ Mjumbe wa kamati ya utendaji ndani ya klabu hiyo Hussein Ally amesema kwamba Yanga ndio...
Uhamisho

Hassan Kessy kurudi Yanga ?

Beki wa zamani wa klabu ya Yanga Hassan Kessy ambaye kwa sasa ajamalizia msimu wake na timu ya Nkana FC ya Zambia anaweza akarejea katika klabu yake ya zamani ya Yanga. Hassan Kessy ameutaarifu mtandao huu kuwa kwa sasa anachosubiri tu mkataba wake uishe ili aone sehemu gani sahihi ambayo...
Tetesi

Ajib hawezi kuchezea Yanga.

  Misimu miwili yenye mafanikio katika miguu ya Ibrahim Ajib iliwahi kutokea katika mitaa ya jangwani ambapo alifanikiwa kufanya vizuri sana katika klabu ya Yanga. Baada ya kumaliza misimu yake miwili akiwa ndani ya klabu ya Yanga aliamua kurejea tena kwenye klabu yake ya zamani ambayo ni Simba Sc, mahasimu...
Michael Kibwate
Tetesi

Ligi ya Kenya kuna njaa, Simba njooni mnisajili

  Baada ya mtandao huu kuripoti tetesi za beki kisiki wa KCB ya Kenya kutakiwa na Simba SC ya Tanzania kwenye dirisha lijalo la usajili kama sehemu ya kuimarisha kikosi cha mabingwa hao wa Tanzania , beki huyo amezidi kufunga vingi kuhusu yeye pamoja na mpira wa Kenya. Beki huyo...
1 11 12 13 14 15 79
Page 13 of 79