Martin Kiyumbi

Mchambuzi
Mchambuzi wa mpira wa miguu, mwenye Shahada ya Ualimu. Martin amejiunga na timu ya kandanda toka mwaka 2017, moja kati ya wachambuzi wakongwe katika familia yetu.
Blog

CLATOUS,KAHATA KUTUA WIKI IJAYO,SHARAAF BADO.

Kocha mkuu mkuu wa klabu ya Simba Sc Sven Vandenbroeck ameweka wazi kuwa wachezaji Clatous Chama ambae yupo Zambia na Francis Kahata ambae yupo Kenya watatua nchini wiki ijayo huku Sharaaf Shiboub ambae yupo Sudan akiendelea kusubiri mipaka ya nchini kwao Sudan ifunguliwe Sven amesema viungo hao nchi zao Zambia...
Blog

Mimi siyo bonge tena , Yanga wajiandae-KICHUYA

Moja ya wachezaji ambao walifanikiwa kuwaonea Yanga SC kwa kiasi kikubwa kwenye michezo ya ambayo ilikuwa inawakutanisha watani hao wa jadi ni Shiza Ramadhani Kichuya .   Huyu alikuwa anawaonea sana kila alipokuwa anakutana nao,  huyu ndiye ambaye alikuwa mchezaji ambaye alifunga goli kwa mpira wa kona ulioingia moja kwa...
Blog

Natamani John Bocco astafu akiwa Azam FC na siyo Simba

Tanzania ishawahi kubarikiwa washambuliaji wengi wazuri wa kati . Inawezekana kizazi hiki kipya kinaweza kisikuelewe sana kama ukiamua kutaja washambuliaji bora wa zamani na kikakuelewa sana unapoamua kutaja washambuliaji wa kisasa . Kwenye ligi yetu kuna washambuliaji bora wa kati kwenye siku za hivi karibuni ambao walikuwa tishio na bado...
Blog

Mke wangu aliolewa na mwanaume mwingine-HAJI MANARA

Afisa habari wa Simba, Haji Manara amesema kuwa kwa sasa hana mke kwa sababu  ameshaachana na aliyewahi kuwa mkewe na tayari mwanamke huyo ameshaolewa kutokana na presha kubwa kutoka kwa familia ya upande wa mke wake. Pamoja na kuachana na mkewe , Haji Manara amesema kuwa ana mpango wa kuoa...
Blog

Kwa mazoezi haya ya Molinga , Kagere ajipange !

Mshambuliaji wa Yanga, David Molinga, alitabiriwa na kocha wake wa zamani Mwinyi Zahera kuwa ni lazima afunge mabao 15 msimu huu na asipofanya hivyo, basi yuko tayari kukatwa mkono ama kulipa faini ya Sh 2 milioni, kwa sasa anajifua mara mbili kwa siku ili kupunguza na kuweka mwili fiti tena...
Blog

Kina Morrison , Kagere kupimwa Corona !

Ligi kuu Tanzania bara mpaka sasa hivi iko njiani kurudi tena. Wakati tunasubiri wakati sahihi wa kurudi ligi hii na namna ambavyo itachezwa iwe kwenye kituo kimoja au kama kawaida kwa mechi za nyumbani. Bodi ya ligi kuu ya Tanzania bara kupitia kwenye mwenyekiti wake Steven Mguto wamedai kuwa mpaka...
Blog

Ramadhani Kabwili apata ajali ya bodaboda

Golikipa namba tatu wa klabu ya Yanga , Ramadhani Kabwili ambaye alikaa nje ya uwanja kwa muda mrefu kutokana na majeraha , amepata majeraha mengine tena baada ya kufanikiwa kupona majeraha ya awali. Ramadhani Kabwili amepata majeraha mapya baada ya kupata ajali ya bodaboda , ajali ambayo imesababisha yeye kupata...
1 10 11 12 13 14 79
Page 12 of 79